Monaban: Lema ameiba kura

Monaban: Lema ameiba kura

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wanaukumbi

Asiyekubali kushindwa siyo mshindani.

Aliyekuwa mgombea wa ccm Arusha mjini Philemon Mollel ameshusha tuhuma kuwa Godbless Lema ameiba kura ndiyo maana ameshinda.

'kuna gari lenye kura limekamatwa ila lilitoweshwa baadaye..'

Source: channel ten
 
Monaban akubali tu.....Arusha inajulikana
 
Mleta uzi umeamua kutuchekesha.
Teh teh teh....
 
Monaban umegombea tu kwa mara ya kwanza na hatujui sifa za utendaji wako iweje utake ushindi hapa arusha, kubali kushindwa jaribu tena kipindi kingine hahahaaa we ulifikiri ukiwa na pesa basi unapita tuu
 
Ha ha ha ha........aisee........kifo cha Mende kibaya jamani.......
hivi kwa Arusha......hata kama hujui kusoma........picha huelewi......hata harufu huhisi........nafwaaaaaa......
 
Monaban umegombea tu kwa mara ya kwanza na hatujui sifa za utendaji wako iweje utake ushindi hapa arusha, kubali kushindwa jaribu tena kipindi kingine hahahaaa we ulifikiri ukiwa na pesa basi unapita tuu

Sifa zake hatujui..........yeye mwenyewe ulimi mzito kama jabali........Arusha hatutaki mtu wa hivyo.......LEMA ATOSHA.......hi hi hi hi hiiiiiiiiiiii.............
 
Tuliwaambia kabisa kuwa safari hii tutawaibia Wao! Haa hah haha haha

Halafu wewe........nilikuona ukikimbia na sanduku la kura za Monaban ukikatiza vichochoro vya Milano.......
 
Mfa majiiii mkubwa yeye.
Hatutak mbunge mwenye mkitambi mkubwa vile.
LEMA AGAIN
 
Mzee wa sembe unga ltd bora hela yake yakampeni angeongezea mahindi tu hasara monasembe amepata jamani
 
Back
Top Bottom