Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Tehe tehe zumbemkuu,gas na mimi wapi nawapi! Mie mtu wa matunda tuu. Kwanza na mie nataka kuanzisha hoja hakuna kusafirisha matunda kwenda Dar kama wale wa gas. Kama mbwaimbwai tuu,kila mtu na chake bwanawee Chakaza kwenu si huko kwenye gesi??
teh teh teh teh!Tehe tehe zumbemkuu,gas na mimi wapi nawapi! Mie mtu wa matunda tuu. Kwanza na mie nataka kuanzisha hoja hakuna kusafirisha matunda kwenda Dar kama wale wa gas. Kama mbwaimbwai tuu,kila mtu na chake bwana
Mkuu pale Mkuzi nimeweka mtu wangu anieleze akisikia harufu ya samaki nchanga anakaangwa tu anifahamishe ili nije na Hoja binafsi hapa JF. Hatuwezi kuambukizwa kula hao jamaa tusije kurudisha ule ugonjwa wa Tauni.teh teh teh teh!
na nkapa aondoke kwetu asituambukize kula chamaki nchanga...
Nikitaka kupiga tour lushoto,naweza kufata utaratibu gani? au zipo kampuni zinatoa package ya tour kwa lushoto?
hahahahahaaha!Mkuu pale Mkuzi nimeweka mtu wangu anieleze akisikia harufu ya samaki nchanga anakaangwa tu anifahamishe ili nije na Hoja binafsi hapa JF. Hatuwezi kuambukizwa kula hao jamaa tusije kurudisha ule ugonjwa wa Tauni.
nimefika huko damn da place is natural like Geneva ,i like the place,
Mkuu pale Mkuzi nimeweka mtu wangu anieleze akisikia harufu ya samaki nchanga anakaangwa tu anifahamishe ili nije na Hoja binafsi hapa JF. Hatuwezi kuambukizwa kula hao jamaa tusije kurudisha ule ugonjwa wa Tauni.