Mombasa Raha sanaaa

Mombasa Raha sanaaa

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Mmmh uploadfromtaptalk1377197579414.jpg
 
hahahaha nimesikia hilo jina nikapata image ya wanafunzi waliokaa vibaya(uchi uchi)
 
kiswahili kina wenyewe na wenyewe ndio sisi
 
hahahaha nimesikia hilo jina nikapata image ya wanafunzi waliokaa vibaya(uchi uchi)

Halafu wale wa kiume wanachukua vile vioo vya kwenye vichongeo wanawawekea watoto wa kike wanakuwa wanawachungulia kidijitali zaidi! Badae wakikwaruzana kidogo tuu utaskia ndo maana c*h*u*p* yako imetoboka! Walimu wanakazi sana jamani...
 
wanafunzi wakikaa uchi mwalimu atawachapa? kweli mombasa kuna vituko
 
Mombasa wanaingiliana na Tanga kwa hiyo Kiswahili wanakijuwa hawakutakiwa kulitumia hili neno kwa jina la shule
 
Halafu wale wa kiume wanachukua vile vioo vya kwenye vichongeo wanawawekea watoto wa kike wanakuwa wanawachungulia kidijitali zaidi! Badae wakikwaruzana kidogo tuu utaskia ndo maana c*h*u*p* yako imetoboka! Walimu wanakazi sana jamani...
Kwa nini watoto wa kike,wasivae suruali kama watoto wa kiislamu,mbona majumbani hawa watoto wanaovaa skirt,wanavaa suruali,kama wangevaa suruali,wapi kioo utaweka,ili uone c*p*
 
Back
Top Bottom