Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnea ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambayo ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.
With the most current data, how does dar port stack up against Mombasa?Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.
ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007
This is not fair to mtwara Port, how can you compare mtwara to Mombasa port which handles twice the number of cargo that all Tanzanian ports handles when put together...Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.
ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007
And how many tons of cargo is bagamoyo handling?While Lamu port ina-handle zero cargo!
While Lamu port ina-handle zero cargo!
They love mentioning Mtwara port so I want to put it in the big boys league. Either it swims or it sinks but I will give it a fair shot. But it sank. It is a white elephant that should never be mentioned in the same breathe with Mombasa port. Mtwara port is not worthy of tying the shoe laces of Mombasa port.This is not fair to mtwara Port, how can you compare mtwara to Mombasa port which handles twice the number of cargo that all Tanzanian ports and all when put together...
I have forgotten how many tonnes Dar port handles per year but what I know for a fact is that all three ports in Tanzania on the Indian ocean handle half the capacity of Mombasa port. All their three ports combined handle only half of what Mombasa port handles.With the most current data, how does dar port stack up against Mombasa?
I know you get my point. Wacha kujifanya huelewi
Answer yourself ama jipe shughuliSielewi kwani wamesema wanapanua Bandari ya Mtwara ili ishindane na Mombasa au yoyote yule ? I mean, lengo la kupanuliwa Bandari ya Mtwara ni lipi ?
Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.
ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007
Usicho jua ni kuwa hiyo bandari ilikuwa imekufa. So kama inazidi kuamka lazima tutoe motivation both kwa watendaji lakini na wananchi na wafanyabiashara wanatumia bandari hii. Afu kwanini always Kenya ndo iwe reference yenu.Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.
ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007
Naona umefanya vyema kufanya comparison kati ya bandari ya mtwara na Mombasa , maana Mombasa ndio bandari kubwa huko kwenu Kenya , kwan mombasa haiwezi kufiki hata kidogo bandari ya dar es salaamNimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.
ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007