Mombasa City Gallery

Mombasa ina viwanda vingi na ni ya tatu baada ya Nairobi na thika hadi vya kutengeza magari na kuna mpango ambao tayari umeanza kuifanya Mombasa iwe the industrial hub of eastern Africa , serkali inawekeza dollar billion moja Kwa huo mradi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema,ntafuatilia zaidi kuhusu ilo,uwekezaji mkubwa wa viwanda kwa sasa umeelekezwa zaidi mkoa wa Pwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vyema,ntafuatilia zaidi kuhusu ilo,uwekezaji mkubwa wa viwanda kwa sasa umeelekezwa zaidi mkoa wa Pwani

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena jua ya kwamba serkali ikihamia Dodoma Dar kidogo itapunguza makali ya ukuaji na nguvu zitaelekezwa Dodoma Kwa hivyo haitaendelea na ile spidi ya sasa na hilo litaipa kibarua kigumu kushindana na Mombasa.

Roho ya serikal ipo Dar
Angalia miradi ya mabilioni inayotekelezwa hapa
1 DMDP (Dar metropolitan development project) $300M mradi wa miaka 5 kuanzia 2015-2020 huu unahusisha ujenzi a barabara madaraja pamoja na vitega uchumi
2.Ubungo interchange $90M
3.Salender bridge $140
4.BRT II $150M
5.Kimara -Kibaha highway $ 65M
6.kinyerezi power plant II $240M
7.SGR to b electrified $1.2M
watakwambia wanahamia DODOMA

Hilo sikatai ila kama mtalifanya Dodoma kuwa jiji kuu basi itabidi muekeze kule Kwa kiasi kikubwa kumbuka Sisi kidogo Nairobi hatuwekezi Sana ila Kwa upanuzi wa barabara tu lakini sasa tume forcus katika maeneo mengine haswa Mombasa Kwa Sana ili liweze kukua kitega uchumi kikubwa sana.

DODOMA ndio wanajenga mji wa kiserikal sehemu flan kunaitwa ihumwa,wanampango wakujenga TRAM, Ringroads na highways kadhaa kujizatiti na ongezeko la magari,hatua kadhaa zinachukuliwa kiufupi wanafanya maendeleo maeneo yote kwa sasa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mombasa raha
FB_IMG_15653832956819982.jpeg
 
Back
Top Bottom