Kambalanick
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 1,157
- 1,043
MOMBASA
Sikunyingine msije Rudia
Ficha ujinga wakoThe same same same old tired BRT and the 3 towers. Mengine Mombasa ipo juu kwa juu. Hata nikipatiwa niwe mkurugenzi wa Madawa Dareslum, Afadhali niis
hi Mombasa mie
Safi sanaWapuuzi kweli hawa
mpost mombasa yenu
ila kuitaja dar muache
Wapuuzi kweli hawa
mpost mombasa yenu
ila kuitaja dar muache
Sasa Diamond nani anamjua. Watu wachache sana ulimwenguni. Diamond ni mwanamuziki anayejulikana na wale wanaipenda genre yake. Si watu wengi nje ya Sub Sahara Africa wanaomjua. Kenya ni mojawapo wa nchi zinazojulikana ulimwenguni. Olimpiki, raga, Volleyball,Obama, kuna vita dhidi ya Al Shabab, Queen of Elizabeth became Queen when she was here, Prince William had a Kenyan girlfriend, Mpesa, Pia Ben Carson kasema yeye ni Mkenya, n.kHahahahaah jidanganye ,,,Tuna mtu anaitwa Diamond platinum,, na Mbwana samata hahahah nyie muna nani
Wanaudhi hawa jamaa wanalinganisha dar na mombasa wakome watuachie dar yetu kabisa
Hiyo ndo Dar city viberiti vimejaa vya kisasa kabisa utazani sao paulo brazil kasoro milima na sanamu la yesu mkome kabisa na mombasa yenu labda kidogo nairobi
ebu usitaje nairoberry APA...msa tu yawatoa ulimiWanaudhi hawa jamaa wanalinganisha dar na mombasa wakome watuachie dar yetu kabisa
Hiyo ndo Dar city viberiti vimejaa vya kisasa kabisa utazani sao paulo brazil kasoro milima na sanamu la yesu mkome kabisa na mombasa yenu labda kidogo nairobi
Na ww ustaje tena upuuz huo mombasa majengo ya kisultani hayo utamwambia nani labda asiyeijua dar