Mola irudishe yanga...

Mola irudishe yanga...

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Mola irudishe Yanga iwe kama ya zamani
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    183.1 KB · Views: 135
du! kizota,mkapa,lunyamila,nemes kikosi kilikuwa bomba mbaya ila msiogope mwaka huu sio wa timu kubwa mfano man u,arsenal,barca,bayern munich,ac milan,inter milan.

badala yake ni zamu ya zilizo nyuma ya mabingwa man c,juventus,madrid,simba nk.
 
Umeona jezi ya Stephen Nemes ilivyokuwa inatangaza Club Billicanas?
Ila tulimtoa mkuku huyo Mbowe na Mengi wake, waliokuwa wanamsaidia Bandawe.
Nchunga naye aondoke.
 
na iwe kama mdau alivyo omba e-mwenyezi Mungu!
 
Duuh! Namuona Sekilojo Chambua....na super coach sijui alijifuchia wapi, alale mahali pema peponi. He made Yanga a formidable team and he enjoyed alot Magomeni kwa macheni...you can imagine!!!
 
Itarudi tu ngoja tuondoe VIRUS waliotuletea aibu mwaka huu
 
Back
Top Bottom