ASANTE KWA MCHANGO WAKO , HAPA NI SAM NUJOMA ROAD PEMBENI NI MLIMANI CITY, PICHA IMEPIGWA KUTOKA JENGO LINALOITWA MAWASILIANO TOWERS angalia hapa http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1265595&page=2Kwa kweli pametulia.
-Barabara Nzuri,
-Green revolution, miti ya kumwaga
-Zaid sana...kuna Tangazo la Salama Kondo, UKISHINDWA KUJIZUIA TUMIA SALAMA KONDO!
wAPI HII, Shekilango?
Mkuu hii picha yako ujaitolea maelezo ya kutosha inakuwa ngumu watu kuchangiaPICHA HII INA VITU KADHAA MATATA JIJINI DAR ES SALAAM JE UNAWEZA KUVIGUNDUA NI NINI HIVYO?
KWA PICHA ZAIDI TEMBELEA HII LINK http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1265595&page=4 KUNA PAGE NNE NA HII NI YA MWISHO UNAWEZA KUANGALIA TOKA MWANZO KWA KUBONYEZA NEXT PAGE, KARIBU
Mkuu hii picha yako ujaitolea maelezo ya kutosha inakuwa ngumu watu kuchangia
That is Sam Nujoma Road - the best road in Dar. The greenish vegetation cover; magnificent road junction (to Sinza makaburini), sky clear from fumes. Mind you, the thing which makes the green vegetation before the junction going to Mwenge is the Evapotranspiration of the University of Dar es Salaam. Look at those service roads!
ASANTE KWA MCHANGO WAKO , HAPA NI SAM NUJOMA ROAD PEMBENI NI MLIMANI CITY, PICHA IMEPIGWA KUTOKA JENGO LINALOITWA MAWASILIANO TOWERS angalia hapa http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1265595&page=2
Baada ya kupanda miti kwa ajili ya mkutano wa WEF,hii ni latest zaidi.
barabara zote zinatakiwa ziwe na sehemu y wazi ama hivi, sema mipango miji wetu wanatumia akili a panzi kufiiriaPICHA HII INA VITU KADHAA MATATA JIJINI DAR ES SALAAM JE UNAWEZA KUVIGUNDUA NI NINI HIVYO?
KWA PICHA ZAIDI TEMBELEA HII LINK http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1265595&page=4 KUNA PAGE NNE NA HII NI YA MWISHO UNAWEZA KUANGALIA TOKA MWANZO KWA KUBONYEZA NEXT PAGE, KARIBU
Kama kweli Dar imejengwa kiasi hiki kwa barabara, tunaelekea kuzuri. Huyu Bwn Maghufuli apewe nafasi ili azidi kuboresha mandhali ya Jiji letu.oh, mkuu , namaanisha kwa kuangalia picha hii unaweza kutambua vitu gani ambavyo kwa maoni yako ni vizuri na vinaathiri jamii yetu kwa ujumla, iwe kiuchumi kiafya au kivyovyote vile, kwa mfano mdau hapo juu amechangia uzuri wa barabara, uoto wa kijani, pia ukiangalia vizuri kuna hiyo mall ya mlimani city, kuna jengo la mikuntano na kuna nyumba nzuri nzuri huko nyuma ya mall, yaani unaweza kusema chochote kulingana na unavyoiona
Ndg wana jamii this is very serious na hawa ndugu zetu wanahitaji kufaidi matunda ya uhuru tusije kuwa sahau. Nauliza wanajamii na wataalamu wa mazingila, mipango miji na mazingira Mama Tibaijuka, hawa wasaidwe vipi?????
HIZI NAZO TUSIZISAHAU, BONGO NI YETU WOTE, MATAJIRI NA MASIKINI.
HIZI NAZO TUSIZISAHAU, BONGO NI YETU WOTE, MATAJIRI NA MASIKINI.
HIZI NAZO TUSIZISAHAU, BONGO NI YETU WOTE, MATAJIRI NA MASIKINI.
http://3.bp.blogspot.com/_0PA_oM-
KAZ0/R3H7UiClcRI/AAAAAAAAA4g/PSWYVQqwE6E/s400/DSC03589.JPG