Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 346
Utakuta mna kama wiki au zaidi hampo katika good terms, hamna mawasiliano mazuri.Halafu ghafla mwenzako ana furaha huku akiimba imba vijinyimbo kama vile moyo wangu tembea na yule, ndio nampendaga ila baaado sio mbaya, wewe ndie unaejua maumivu yangu.
Hapo mdau ujue umekula kwako.
Just thinking louder
Hapo mdau ujue umekula kwako.
Just thinking louder