Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,658
napoipeleka Tanzania ni mahali ambapo Malaika huishi.
No. Kwa kauli yake alisema anataka watu fulani waishi kama shetani.
napoipeleka Tanzania ni mahali ambapo Malaika huishi.
mkuu naona hili swala la kukurupuka umelishikilia sana lakini mimi nakushauri uanze kutoa hili somo la kutokukurupuka kwa mbowe kwanza ili ajenge upinzani wenye maamuzi sahihi ndo uje kwa magufuli.....Acha uongo wewe ndani ya miezi saba tu majanga chungu nzima halafu unadai eti anaipeleka Tanzania mahali Malaika wanaishi. Acha kukurupuka tafakari kwa kina badala ya kukurupuka kuandika vitu ambavyo havina ukweli wowote.
Acha uongo wewe ndani ya miezi saba tu majanga chungu nzima halafu unadai eti anaipeleka Tanzania mahali Malaika wanaishi. Acha kukurupuka tafakari kwa kina badala ya kukurupuka kuandika vitu ambavyo havina ukweli wowote.
Ni kweli mkuu kwa sababu wenye vipara wangekuwa vilaza waliotukuka!!!Aiseeee.... Akili haziwezi kuwa nywele.