Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,660
- 1,801
Ni kuondoa tabaka la watawala na watawaliwa.Ilikuwa imeshajengeka Tanzania kuwa watawala na watoto wao wataendelea kuwa viongozi na mtu wa nje kupata nafasi ya kupenya humo ilikuwa inaanza kuwa muhali.
Lilijengeka tabaka la 'one of us' lile alilolizungumzia hayati Margareth Thatcher wa Uingereza.Nani asiyejua kuwa watoto wa viongozi walikuwa wanaandaliwa kwa kupelekwa kusoma nje ili waje washike nafasi za baba/babu zao?
Nadhani uongozi wa Magufuli wa meritocracy, kuzingatia uwezo wa mtu na siyo ni nani umelikata tabaka hili kwa nusu.Leo hii nadhani zaidi ya Jamhuri- naye natumaini ameteuliwa kwa uwezo wake tu- hakuna watoto wa vigogo.Kila jambo lisemwe, Magufuli siyo Malaika, lakini anapoipeleka Tanzania ni mahali ambapo Malaika huishi.