Moja moja uliyoipenda zaidi mwaka huu(2021)

Moja moja uliyoipenda zaidi mwaka huu(2021)

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,994
Katika mwaka 2021 ni movie gani umeipenda zaidi? Binafsi nimeipenda Dune niliisubiria kwa hamu na haijaniangusha.

Dune_(2021_film).jpg
 
Shang Chi Ten Rings and Mortal Kombat 2021 somehow

Series ni Hawkeye & The Wheel of Time
 
Hizo movie zote 2 nimeangalia basi ila katika movie mbovu zilizotoka mwaka huu Mortal kombat hipo

Mortal Kombat sio mbovu kiasi hicho sema mli expect more, sasa kama MK mbovu na Eternals itaitwaje? maana ule ni utopolo pro...japo leo jion wamesuluhu
 
Back
Top Bottom