Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Mbona post za watu wengi zinaunga mkono madaktari kuendelea kuua wagonjwa kwa faida yao wenyewe? Inakela sana, kwa mfano huyu jamaa, sijui anafurahia sana wagonjwa kufa ili hali madokta wakiwa wamepumzika manyumbani kwao.
Msiwaogope wauao mwili wasiweze kuiua na roho, afadhali mwogopeni yeye awezaye kuua vyote, mwili na roho katika jehanamu.
Nadhani this time Kikwete ndo atatafuta mwajiri mwingine na si madaktari.
Noted...Nafikiri hamjaielewa serikali, wanaposema hakunamgomo ni kule hospitali mpya ya rufaa LUGALO. Kama mlikuwa hamjui maana ya kutelekezwa ndiyo tujifunze vizuri sasa.
Tumefika hapa 2lipo kutokana na UDHAIFU wa jk.J.J MnykaAcheni upotoshaji,
Hakuna mgomo wa madaktari.
Sababu ipo.Wanoshabikia hii migomo akili zao hamna kitu kabisa. Na kama MOI wameanza mgomo eti hali ya afya ya Dr. Ulimboka imebadilika basi ni AJINGA SANA! Unafanya kazi kwa mafufaa ya taifa lako na familia yako au kwa ajili ya Dr. Ulimboka? JE AKIFA WTAFANYA NINI? WATAACHA KAZI? HUU NI UJINGA SANA KAMA NDIVYO ILIVYO. SIDHANI SPECIALISTS KAMA DR. ANTHONY, PROF. MUSERU, PROF. KAHAMBA, DR. NUNGU NK. NK. AMBAO WAKO VERY SMART WANAWEZA KUFANYA UPUUZI KAMA HUU!
THIS IS NON SENSE AND VERY STUPID! I THINK MLETA MADA ANA AGENDA YAKE YA SIRI!
Mbona limeshakuwa?Liwalo na liwe !
na mbadoMbona limeshakuwa?
Nasisitiza
Hakuna mgomo muhimbili, after all wagonjwa wa rufaa wanapelekwa LUGALO.
Mbona post za watu wengi zinaunga mkono madaktari kuendelea kuua wagonjwa kwa faida yao wenyewe? Inakela sana, kwa mfano huyu jamaa, sijui anafurahia sana wagonjwa kufa ili hali madokta wakiwa wamepumzika manyumbani kwao.
Msiwaogope wauao mwili wasiweze kuiua na roho, afadhali mwogopeni yeye awezaye kuua vyote, mwili na roho katika jehanamu.
Maybe.MOI hawakujua kuwa kurudi jana kazini ilikuwa ni mbinu ya kukatisha mwendelezo wa kutokuwepo kazini kwa zaidi ya siku tatu kinyume cha sheria mwajiriwa anahesabika kuwa amejifukuza kazi. Wanaanza tena leo na wataaendelea na mgomo mpaka wiki ijayo ambapo watarudi tena siku moja au mbili wanagoma tena
MOI hawakujua kuwa kurudi jana kazini ilikuwa ni mbinu ya kukatisha mwendelezo wa kutokuwepo kazini kwa zaidi ya siku tatu kinyume cha sheria mwajiriwa anahesabika kuwa amejifukuza kazi. Wanaanza tena leo na wataaendelea na mgomo mpaka wiki ijayo ambapo watarudi tena siku moja au mbili wanagoma tena
Good.Well said! hawa wanaofurahia hii migomo wanamatatizo akilini mwao!
Dhaifu kawaogopa.Watakuwa wapumbavu sana, na kama ndo hivyo basi elimu yao haiwajasaidi na pia inabidi watimuliwe!
Kwani ana nongwa JK si atenda kwa ma ntilie!!yaani mpaka wapishi wa ikulu nao wagome ndo JK atajua hapendwi..ndo shida ya kuingia madarakani kwa ndumba..antivirus ukichelewa ku update yaani masoo yanakuandama kama nini....