Muulize baba yako kwani nae ana haki ya kupokea posho nzito wakati mishahara ya hao unaowauliza ni kiasi hicho?hivi wenye haki nchii ni madaktari tuuu au mbona polisi wapambana na majambazi watu hatari ,lakini mshahra laki na nusu ,mbona hawagomiii?.hapo ni uzalendo tu haupo kwa hao watu wa afya .
hivi wenye haki nchii ni madaktari tuuu au mbona polisi wapambana na majambazi watu hatari ,lakini mshahra laki na nusu ,mbona hawagomiii?.hapo ni uzalendo tu haupo kwa hao watu wa afya .
Role ya Nesi ni kubwa sana musithubutu hata kudharau ni zaidi ya kuosha waliojinyea na vidonda,wakigoma wao ni masaa 12 tuu inatosha kuangusha serikali naona watanzania wengi munawadharau sana manesi hamjui mfumo wa kiutendaji wa hospitaliFanya kazi yako ya kusafisha wagonjwa waliojinyea hapo muhimbili na sio kuingilia kazi za watu wengine..unesi ujafikia kwanini kudandia hoja za watu?
wewe sidhani kama unaakili sawasawa, kwani umesikia manesi wamegoma au madaktari.. sio lazima kila thread ukoment.
sio bonge sema claud fm yote imekaa kinafki tuu
Manesi ndo wanafanyaga upasuaji?Muongo manesi hawajagoma
Sasa hapa ndo tunaposhindwa kujua wakumlaumu ni nani kweli we kwa akili yako unadhani clouds wanauwezo wowote wa kuilazimaisha serikali kufanya chochote hata kama wangesema yale wewe unayotaka wayaseme? big NO.Tatizo la radio clouds ni kwamba wanajifanya much knowers na wanashindwa kutofautisha kati ya jokes na seriousness. Huwa nawashangaa kwenye issues ambazo zinahitaji utaalamu kuziongelea wao wanajifanya kuziongelea, kulaumu na kutoa fishy connclusion.
Pili they are not consistent in their arguments.Haiwezekani anaongea mtu huyu unasema unakubaliana naye. Mwingine akija akatoa kauli inayopingana na wa jana naye unasema unamkubali na unahitimisha kuwa ndivyo inapswa kuwa.
It's very disgusting to find people using this public media for outdated propaganda. We know you are pro-CCM and pro-government for that matter. But learn to call a spade a spade when presenting serious issues from events
kama nilivyosema, mwenye uwezo wa kupeleka mgonjwa wake india anaweza kufanya hivyo - kwa asiyeweza basi asubiri wakati tunaandaa mchakato wa kuandaa mazungumzo na hawa madaktari. Poleni wananchi lakini tuvumiliane suala hili kama nilivyosema mwazo tumeshaliingiza kwenye mchakato.
hivi wenye haki nchii ni madaktari tuuu au mbona polisi wapambana na majambazi watu hatari ,lakini mshahra laki na nusu ,mbona hawagomiii?.hapo ni uzalendo tu haupo kwa hao watu wa afya .