mohsw website has been hacked

mohsw website has been hacked

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,878
Katika pita pita zangu mtandaoni Nimeshangazwa na kitendo kukuta website ya wizara ya afya na ustawi wa jamii imekua hacked

Pichani ndio picha na maelezo yanayo display uki fungua website hyo
 

Attachments

  • 1422219275681.jpg
    1422219275681.jpg
    54.5 KB · Views: 266
Hatari ingawa jamaa sijui anatuma message gani kwa Serikali yetu hii sikivu. Lengo lake huyo hacker ni nini? Sio kitu cha kudharau. Wizara husika chukueni hatua stahiki!
 
Mmh! Hatari sana hii, hapana tena usalama wa information hapo.
 
Duuuh!
Jamaa kamwagia kitumbua mchanga.
 
Back
Top Bottom