Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 465
Naomba kuwasilisha hoja mezani tujadili kwa kina kuhusu mwandishi nguli wa historia ya siasa Tanzania ndugu Mohammed said,mtazamo wake na maandiko yake juu ya historia ya ukombozi wa Tanzania je tumuweke katika kundi lipi?na Kuna ukweli upi katika maandiko yake?
Kwa wajuzi na wafuatiliaji naombeni maoni na mtazamo wenu,kwa sababu juzi nimemnukuu ridhiwani kikwete akisema ikulu ilikuwa ni sehemu ya madrasa na Kuna maandishi ya Quran mlangoni alisema wakati wa kumbukumbu ya maisha ya Sharif Hussein badawiy.
Na ikumbukwe jambo hili ni moja katika miongoni mwa mengi ambayo amekuwa akielezea ndugu Mohammed said Mara kwa Mara katika makala zake zenye kuelezea nafasi ya wazee wakiislam katika ukombozi wa nchi.
Je ni kweli na Kama kweli mbona historia imefichwa hatuoni sehem yoyote katka vitabu vya mashuleni!
Je, ni ukweli uliofichwa au uongo uliotungwa?