Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,331
- 6,613
Mimi sio msela, nimesoma Azaboi miaka 6 na namkumbuka vizuri Muddy PhysicsWale masela wa Azaboy wa enzi hizo ndio wanamjua na kumkumbuka sana.
Sisi wa huku Zanzibar hatujuagi watu wa Dar, tunamjua Maalim Seif Sharif Hamad tu.
kweli na mpaka sasa wengine tuna familia, tumeajiliwa, tumejiajili, wanye kutafuta.