Hilo linajulikana sana kama unafuatilia masuala ya siasa na habari za dunia, mama yake na Al Sisi ni Moroccan Jew kwa hiyo automatically kama mama ni myahudi na yeye ni myahudi wala halina ubishi hilo

Morsi hakulijua hilo kuwa jamaa ana damu ya kiyahudi wakati anamteua kushika wadhifa nyeti wa kuwa Mkuu wa Majeshi?
Watu wapo strategic sana.Kwa kuwa kuna watu wanaona huyu jamaa amepewa kifungo kirefu sana cha miaka 20 jela.Sasa anahukumiwa kunyongwa, wakati watu wanataharuki kilio kikubwa kitasikika na jumuita ya kimataifa inaonyeshwa masikitiko yake alafu baada ya hayo Rais ataingilia kati na watamfutia hukumu ya kifo na kubaki hukumu ya miaka 20 jela na watu wote watashangilia na kumsifia Rais.
Mwisho wa siku wakija kufikiria vizuri kumbe wameshangilia kile kile walichokuwa wanakipinga mwanzo, politics!!
Kwa hiyo akiwa na mama wa kiyahudi basi automaticaly pia amepandikizwa na wayahudi!?..is.that what you mean?....
"Nonsense".....
Na huku alichaguliwa kidemokrasia,hii laana ya marekani sijui lini itaisha.Chuki dhidi ya USA na Israel ndiyo itazidi zaidi
Huu ni uongo ambao inabidi kujivika ujinga ili kuukubali. Hata Torah inapotaja kizazi inataja wababa tu. Kwa hili mtafute mwengine umdanganye.wayahudi wamebase kwa mama.
mfano,mmewe chelsea clinton ni myahudi.
ila kama chelsea atamzalia mtoto(aweza kuwa ashazaa),huyo mtoto si myahudi,kwani chelsea si myahudi.
sasa mamake al sisi ni morrocoan jew
Unamfaham vizuri Abdulfatah Al sis wewe!?..He's a very determined man.
Unamfaham vizuri Abdulfatah Al sis wewe!?..He's a very determined man.
Unaweza nitajia raisi yeyote wa Marekani mwenye asili ya Kiyahudi?.Al sisi alikuwa ni mwanajeshi na cheo kikubwa kabla ya morsi kuwa raisi, kwani maraisi wangapi marekani wana asili ya Irish na Jew lakini maisha yanaenda. Huyo ni born and bred, ifahamike kuwa inawezekana siku moja tukawa na raisi mzawa mwenye asili ya nchi nyingine lakini hiyo nchi kama itakuwa ni adui na sisi maswali yatakuja tu
Unaweza nitajia raisi yeyote wa Marekani mwenye asili ya Kiyahudi?.
Ni myahudi aliepandikizwa
Na huku alichaguliwa kidemokrasia,hii laana ya marekani sijui lini itaisha.Chuki dhidi ya USA na Israel ndiyo itazidi zaidi