New Force 2015
Member
- Oct 25, 2013
- 63
- 262
Umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria, kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya Bunge, sasa na Bunge la Katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea Ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu? Yawezekana huyu ni mbunge mzigo kuliko wengine. na hata asipoenda, siku anapoenda huko akigawa kidogo hata vigogo wa Bunge wanaufyata. ifike mahali watanzania wajue hili
akili yako naweza sema MFU..
unajua majukumu ya mbunge ww!!!??
akili yako naweza sema MFU..
unajua majukumu ya mbunge ww!!!??
Mhe. Machemli unamfahamu? Anahudhulia vikao, au na ww una akili mfu
sioni kama kuna tatizo kama matatizo ya wananchi wake anayatatua. ila kama wananchi anaowawakilisha hawa benefit chochote hapo ndo kuna shida kubwa ya yeye kuonekana mzigo tena wamisumari na chama chake kinatakiwa kumuambia

This is too personal,inatakiwa ijibiwe na mwenyewe ila ofisi ya bunge ndo inatakiwa ihoji
Mhe. Machemli unamfahamu? Anahudhulia vikao, au na ww una akili mfu
sioni kama kuna tatizo kama matatizo ya wananchi wake anayatatua. ila kama wananchi anaowawakilisha hawa benefit chochote hapo ndo kuna shida kubwa ya yeye kuonekana mzigo tena wamisumari na chama chake kinatakiwa kumuambia
Dewji 'core business' yake siyo ubunge. Wa kujilaumu ni waliomchagua kama walitarajia akawawakilishe. Hata hivyo hizi za kuuwakilisha wananchi nazo ni kauli tu. Ni mbunge gani kukusanya mawazo ya wananchi na kuyasema bungeni zaidi anasema mawazo yake! Pia kwamba anatatua matatizo yao nayo ni kauli potofu pengine ndiyo maana wabunge wanadai nyongeza za posho ili wawagawiye wapiga kura wao!Umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria, kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya Bunge, sasa na Bunge la Katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea Ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu? Yawezekana huyu ni mbunge mzigo kuliko wengine. na hata asipoenda, siku anapoenda huko akigawa kidogo hata vigogo wa Bunge wanaufyata. ifike mahali watanzania wajue hili
babu ndesamburo ulimuona mwisho lini bungeni??umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria, kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya bunge, sasa na bunge la katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu? Yawezekana huyu ni mbunge mzigo kuliko wengine. Na hata asipoenda, siku anapoenda huko akigawa kidogo hata vigogo wa bunge wanaufyata. Ifike mahali watanzania wajue hili
sioni kama kuna tatizo kama matatizo ya wananchi wake anayatatua. ila kama wananchi anaowawakilisha hawa benefit chochote hapo ndo kuna shida kubwa ya yeye kuonekana mzigo tena wamisumari na chama chake kinatakiwa kumuambia
Yupo kwenye shughuli zake, hana muda wa kwenda bungeni