Mohammadu Buhari huna haki ya kuishambulia Gambia na kumuondoa Jammeh...,acha unafki

Hivi mtoa mada nikuulize swali Moja, huyu Jammer alishinda au alishindwa uchaguzi kwa maoni yako?

Kama alishindwa kwann unasikitika akitolewa anapong'ang'ania? Kama atatolewa na AU, kama atatolewa na Buhari, kama atatolewa na Trump, kama atatolewa na Taifa stars, kama atatolewa na makirikiri, kama atatolewa na Kansiime, kama atatolewa na msajili wetu vyama TZ tatizo liko wapi?

Kwann pro kijani mnaogopa sana hii move? Inaashiria nini hii?
 
What i know in a little bit is that.. nigeria licha ya madhaifu ya rais wake. Yupo nyuma ya mwamvuli wa ECOWAS. Sio maamuz yake pekee. Ivory coast, senegal hizo ni baadhi ya nchi 15 wanachama wa ECOWAS walioridhia jammeh aondoke. Hata hivyo Jammeh licha ya kushindwa ktk uchaguzi alitumia mapungufu yaliyopo ktk katiba yao kukimbilia mahakamani. Moja ya kipengele ktk katiba hiyo kuhusu uchaguz inasema, endapo matokeo yatapingwa mahakaman, shughuli za kuapishwa rais mteule zitasimama hadi mahakama itoe maamuzi. Hata hivyo muosha huoshwa. Kwamba uchaguzi uliopita uliomweka madaraki jammeh, ulipingwa mahakaman, hata hivyo jammeh aliapishwa pasi kusubiri maamuz ya mahakama. So thus y ECOWAS wameamua kuingilia kati. Tayar AU wameshatoa so called "go ahead" kwa ECOWAS troops kuivamia gambia. So tuombe mungu usiku huu jammeh akimbie au akubali matokeo...
 
Huo ni Muungano wa Viongozi wa Upinzani Kuwang`oa Ving`ang`anizi wa Madaraka.Huko siyo Tz Mulizoea Uko Hakuna Ujecha.
 
Nimesikitishwa sana na maamuzi ya Mohammadu Buhari Rais wa Nigeria kupeleka meli ya kivita katika pwani ya Gambia na anajiandaa kupeleka ndege za kivita Gambia kumuondoa incumbent Strong leader Professor Dr Yahya Jemus Junkung Jammeh

Mohammadu Buhari hana haki hiyo na ni unafki uliokithiri kukubali matendo anayoyafanya Buhari ..ninapinga kwa 100%

mwaka 1966 LT.Mohammadu Buhari alishiriki katika mapinduzi ya kumuondoa madarakani na kumuua Gen.Aguinyi Ironsi

Mwaka 1975 LT Colonel Muhammadu Buhari alishiriki katika mapinduzi ya kumuondoa madarakani Rais Yakubu Gowon

Mwaka 1983 Major General Mohammadu Buhari alikuwa kiongozi aliyeendesha mapinduzi ya kuiondoa serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ya Rais Shehu Shagari na kushika hatamu,lakini mwaka 1985 Gen.Ibrahim Babangida alimpindua Buhari

Mwaka 2007 Muhammadu Buhari aligombea urais na kushindwa lakini aliyakataa matokeo na kukata rufaa.

Iweje mtu kama Buhari ndio aongoze mazungumzo ya kumshawishi Jammeh ayakubali matokeo na aachie uongozi?

Napingana na Buhari. ..Buhari hana haki ya kumnyooshea kidole Jammeh ,Buhari hana haki ya kupeleka warships,Aircraft's Gambia

Tupinge na kukataa unafki wa Buhari

b3c3e987535ea6118bbd4080b59bcca6.jpg

Siyo yeye Buhari bali ni Muzungu, Muzungu ndiyo anataka kumuondoa Raisi Jammeh lkn yeye Muzungu kama yeye hawezi kutuma majeshi kwa maana mtalia Ukoloni hivyo anamtumia nigga kumfanyia kazi, inaitwa proxy war kama vile Somalia, Mali, Afrika ya Kati, Kongo n.k. na lengo ni nchi ya Gambia irudishwe uanachama wa ICC na British Common wealth kwa nguvu!

Fikiria hili Ilani ya uchaguzi ya Barrow Adama ni kuirudisha Gambia British Common wealth na ICC, hizo mbili tu, sasa jiulize Kiongozi wa Upinzani anakuwa na Ilani kama hiyo uliona wapi? Siyo Elimu, uchumi, Nishati au kingine chochote bali ni hivyo viwili tu!
 
Sema sina uwezo wajingajinga viongozi wakiafrika wanaojipachika umiliki wa mataifa wanayoyaongoza kinguvu ningewanyonga kwa risasi wote

Burund

DRC

Gambia nk

Buhari mkate kichwa huyo mpuuzi 22yrs bado hatosheki!
 
Mtoa mada, undefine
1: unapinga Jammeh kuondolewa?
2: unapinga Buhari kumtoa Jammeh?
3: Je likija jeshi la ECOWAS kumtoa Jammeh bila Nigeria kuwepo kwako ni sawa?

Maana umeandikamcitu vingi vyenye kujikoroga
 
Tulia dawa ikuingie mliyoyafanya Zanzibar mnafikiri wenzenu wanayavumilia
Hao si wangeleta ilo dude na kule kisiwa cha karafu

Kila jambo na wakati wake. Siku itafika meli la vita CVN-69 Dwight D. Eisenhower kwa ruhusa ya UN security council itavinjari Zanzibar channel kutekeleza naval blockade Zanzibar kwa madhumani ya kulinda demokrasia na heshima ya Mzanzibari. Kwa kudra ya Mwenyezi Mungu wanafiki wanao hubiri tutalinda muungano kwa nguvu zote watakua hai kushuhudia tukio la karne. HAKI!
 
Nimesikitishwa sana na maamuzi ya Mohammadu Buhari Rais wa Nigeria kupeleka meli ya kivita katika pwani ya Gambia na anajiandaa kupeleka ndege za kivita Gambia kumuondoa incumbent Strong leader Professor Dr Yahya Jemus Junkung Jammeh

Mohammadu Buhari hana haki hiyo na ni unafki uliokithiri kukubali matendo anayoyafanya Buhari ..ninapinga kwa 100%

mwaka 1966 LT.Mohammadu Buhari alishiriki katika mapinduzi ya kumuondoa madarakani na kumuua Gen.Aguinyi Ironsi

Mwaka 1975 LT Colonel Muhammadu Buhari alishiriki katika mapinduzi ya kumuondoa madarakani Rais Yakubu Gowon

Mwaka 1983 Major General Mohammadu Buhari alikuwa kiongozi aliyeendesha mapinduzi ya kuiondoa serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ya Rais Shehu Shagari na kushika hatamu,lakini mwaka 1985 Gen.Ibrahim Babangida alimpindua Buhari

Mwaka 2007 Muhammadu Buhari aligombea urais na kushindwa lakini aliyakataa matokeo na kukata rufaa.

Iweje mtu kama Buhari ndio aongoze mazungumzo ya kumshawishi Jammeh ayakubali matokeo na aachie uongozi?

Napingana na Buhari. ..Buhari hana haki ya kumnyooshea kidole Jammeh ,Buhari hana haki ya kupeleka warships,Aircraft's Gambia

Tupinge na kukataa unafki wa Buhari

b3c3e987535ea6118bbd4080b59bcca6.jpg
Unapinga kwa sababu kwako siku zimeganda
 
Acha wapeleke demokrasia kama Nato walivyowapelekea Libya
Iraq Afghanistan mpaka leo hii kuko shwari kabisa
 
Nimesikitishwa sana na maamuzi ya Mohammadu Buhari Rais wa Nigeria kupeleka meli ya kivita katika pwani ya Gambia na anajiandaa kupeleka ndege za kivita Gambia kumuondoa incumbent Strong leader Professor Dr Yahya Jemus Junkung Jammeh

Mohammadu Buhari hana haki hiyo na ni unafki uliokithiri kukubali matendo anayoyafanya Buhari ..ninapinga kwa 100%

mwaka 1966 LT.Mohammadu Buhari alishiriki katika mapinduzi ya kumuondoa madarakani na kumuua Gen.Aguinyi Ironsi

Mwaka 1975 LT Colonel Muhammadu Buhari alishiriki katika mapinduzi ya kumuondoa madarakani Rais Yakubu Gowon

Mwaka 1983 Major General Mohammadu Buhari alikuwa kiongozi aliyeendesha mapinduzi ya kuiondoa serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ya Rais Shehu Shagari na kushika hatamu,lakini mwaka 1985 Gen.Ibrahim Babangida alimpindua Buhari

Mwaka 2007 Muhammadu Buhari aligombea urais na kushindwa lakini aliyakataa matokeo na kukata rufaa.

Iweje mtu kama Buhari ndio aongoze mazungumzo ya kumshawishi Jammeh ayakubali matokeo na aachie uongozi?

Napingana na Buhari. ..Buhari hana haki ya kumnyooshea kidole Jammeh ,Buhari hana haki ya kupeleka warships,Aircraft's Gambia

Tupinge na kukataa unafki wa Buhari

b3c3e987535ea6118bbd4080b59bcca6.jpg
Totally logic.. africa will develop only if get rid of hypocrisy
 
Back
Top Bottom