SUMATRA imeyafungia mabasi ya kampuni za MOHAMED na MOrobest kwa muda usiojulikana ili kupisha uchunguzi wa kina juu ya ubora wa mabasi hayo,pia sumatra inajiandaa kusubiri taarifa ya ajali ya nasi la simba ,mtoto,tayari SUMATRA IMESHAIFUNGIA KAMPUN YA CHAMPION,,,,,

SIO MOHAMED TRANS N MOHAMED CLASSIC!
Baada ya Kikwete kuwabatukia ndio wanaanza kufanya kazi.
Hivi nyinyi Watanzania Rais afanye kazi ngapi?

Siku moja moja akae ubungo mataa aogoze magari

Sumry halimo na bado tuna kumbukumbu ya maafa yake kwa ndugu zetu...t's rediculous!!

Nashangaa sumry kuachwa,au sheria waz nt yet????

Baada ya Kikwete kuwabatukia ndio wanaanza kufanya kazi.

Hivi nyinyi Watanzania Rais afanye kazi ngapi?

Sheria mfukoni.com
Nashangaa sumry kuachwa,au sheria waz nt yet????

ma bus ya wanasiasa hayahusiki ktk kusimamishwa! TAMBUENI HILO

Hii kampuni inawenyewe haigusiki