!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,
go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu
Bus kuua ni habari, ila bus kuua polisi ni habari ya kusisimua zaidi.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,
go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu
mkuu sio kosa lako, kuna vitendo vingine vina fanywa na polis vya kikatili dhidi ya raia vina sababisha raia kuwaona kama mizimu.
...umenena mkuu.Duh!😱 hatari namna hii.
Hiyo saa 11 hilo bus lilikuwa linatoka wapi? Maana sie Sumatra tujuavyo mabasi yanaanza safar kote nchini saa 12 alfajiri.
....Polisi 14 wasimamishwa kwa tuhuma za wizi wa vitu vya thamani ya sh900mil mali ya mkandarasi Namtumbo-Tunduru Road, RPC Nsimike asemaKwenye nchi za wenzetu Askari Polisi ni msaada mkubwa sana kwa jamii, kutokana na kufuata maadili yao ya kazi. Lakini hawa wa kwetu ni kero kubwa sana kwa jamii, ndiyo maana wengi wetu hatuwapendi , hii hutokana na tabia zao.
Note: Ingawa sio wote, Hivyo wanahitajika kujisahihisha.
Raia wa kawaida huwachukulia mtindo wa Samaki kwenye Tenga kuwa akioza mmoja basi wote wameoza,
ingawa ukichambua utawapata walio safi.
....Polisi 14 wasimamishwa kwa tuhuma za wizi wa vitu vya thamani ya sh900mil mali ya mkandarasi Namtumbo-Tunduru Road, RPC Nsimike asema
Mkuu hiyo sio sababu ya kuwachukia polisi wote na kumuita mtu ambaye amefariki kwenye ajali mbwa,,,this is the highest degree of barbarism and uncivilisation,,,too judgmental,,this is not fair.
...umenena mkuu.
Mohamed Trans wanatabia ya kutoa rushwa..., hasa mabasi yanayotoka mkoani' hawapendi kulala njiani.
kwa tusiojua Kiarabu inakuwaje sasa?Innalillah wayna ilayh rajiuun
D.9084 D/CPL Adolf, F.6459 PC Evarist, H.3783 PC Deogratius(dereva), WP 10337 PC Jackline na WP. 10382 PC Jema. Mungu awapumzishe kwa amani askari.