Mohamed Shabalala aliona mbali sana Kukimbia Simba

Mohamed Shabalala aliona mbali sana Kukimbia Simba

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,870
LEO NILIKUWA NA WANA SIMBA SEHEMU NA HAYA NDIO MANENO YAOOO

KAKA DIDY

NIKWAMBIE TU SHABALALA ALIKUWA CAPTAIN

YULE JAMAA ALIKUWA CLOSE NA VIONGOZI NA KABLA YA KUONDOKA ALITOA BAADHI YA USHAURI WAKAMKATILIA

AKAONA BORA AONDOKE AWACHIE SIMBA YULE BWANA AKANZA KUELEZA UKWELI WACHEZAJI WENGINE WENYE AKILI WAKANZA KUTIMKA NA YYEYE AKAISHIA

YAAN TUKIMWAZA ANA MAMBO MENGI SANA YA KUTUELEZA YALIYOKUWA YANAENDELEA SIMBA SSC
 
Hakuna timu ya Tanzania itakayofika robo fainali msimu huu.sio Yanga, Simba Azam wala Singida..
Kaa ukijua hilo.

Pili upepo anaopitia Simba ni kawaida ya soka.....labda kama hutaki kuwa exposed na yanayoendelea sasa kwenye vilabu vingine Africa na duniani...
Mamelodi
SIMBA
Tp Mazembe
Raja
Asec
Zamalek
Timu zote za Algeria
Hizo timu zote zina mapito magumu...
 
Nakubaliana nawe kabisa kwa sababu mashabiki maandazi wa kitanzania wanataka timu iwe juu siku zote kitu ambacho hakitakaa kitokee mpaka mwisho wa dahari.
 
Back
Top Bottom