Huyu mzee mdini anadhani uhuru wa Tanganyika umepatikana na watu wa dini yake, mjinga sana, sijui ni Mmanyema? Wamanyema wao hujinasibu kwa kujiita wao ni Waarabu.Dingi yeye siku zote anawapigania "wazee wake" tuu!
Jibu hoja, usilete chuki za udini. Watu wengi sana wamejifunza kupitia yeye.Huyu mzee mdini anadhani uhuru wa Tanganyika umepatikana na watu wa dini yake, mjinga sana, sijui ni Mmanyema? Wamanyema wao hujinasibu kwa kujiita wao ni Waarabu.
Apeleke mambo yake huko kwao Mtaa wa Tandamti, Kariakoo!
View: https://youtu.be/4pvbCGFiXHY?is=qm-X1-Wkiaaf5GNHAishauri katika afisi za ccm waweke picha za waanzilishi wa TANU na TAA.ambao ndio wapigania uhuru wa Tanganyika
Amesema haiwezekani ktk afisi ya ccm hasa lumumba inakosekana picha ya mwanachama namba 2, 3, 4,5.
Kwani Tanganyika ilikuwa koloni? Kenya pekee ndiyo ilikuwa koloni, tuache kujikweza.Huyu mzee mdini anadhani uhuru wa Tanganyika umepatikana na watu wa dini yake, mjinga sana, sijui ni Mmanyema? Wamanyema wao hujinasibu kwa kujiita wao ni Waarabu.
Mpuuzi huyu.Dingi yeye siku zote anawapigania "wazee wake" tuu!
hiyo ni content yake mpk anaaga hapa duniani ,hayumbi wala kuyumbishwa ktk hili la wazee wakeDingi yeye siku zote anawapigania "wazee wake" tuu!
kwani tanzania kuna kabila linaitwa manyema/ manniema ?Huyu mzee mdini anadhani uhuru wa Tanganyika umepatikana na watu wa dini yake, mjinga sana, sijui ni Mmanyema? Wamanyema wao hujinasibu kwa kujiita wao ni Waarabu.
Ni Mmanyema. Anadanganya watu eti wamanyema ndio waliopigania uhuru wa Tanganyika. Anadai wamanyema ndio wamiliki wa Tanzania.Huyu mzee mdini anadhani uhuru wa Tanganyika umepatikana na watu wa dini yake, mjinga sana, sijui ni Mmanyema? Wamanyema wao hujinasibu kwa kujiita wao ni Waarabu.
Hakuna hoja ya kujibu. Kinara wa Uhuru ni Nyerere hakuna la ziaida. Mbona nyie Kila siku mnatupigia kelele za Samiah kama vile ni mungu?. Kwani hakuna wengine?Jibu hoja, usilete chuki za udini. Watu wengi sana wamejifunza kupitia yeye.
Inaelewa maana ya mujaheedena acha kukufuru uislamu.Mujaheedina wa kikatoliki wataanzisha jihad kupinga hilo
Acha kupotosha Tanganyika ilikuwa Trusteeship chini ya muingereza. Ni wapi tulipiginania uhuru?. Uhuru ulipiganiwa Kenya.Mzee side youpo sahihi
Wahafidhina wa kigalaticos walikuwa mashabiki wa mishionari wasingeweza kupigania wamisheni waondoke
Unapotosha. Anachosema history ya tanganyika inamtaja mwalim nyerere tu kwa kila kitu, kumbe kuna wengine wengi walijitolea muhanga kuiipaigania TanganyikaNi Mmanyema. Anadanganya watu eti wamanyema ndio waliopigania uhuru wa Tanganyika. Anadai wamanyema ndio wamiliki wa Tanzania.