Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,433
- 11,747
Mbona inasemekana ana vinasaba vya kumfanania Ramadan Dau ?
Uteuzi kutoka ukweni
Huyu jamaa mbali na connection yake kwa mama ila hata kazi anafanya vizuri pia, watumishi wengi wanamkumbuka sana.!
Si amsatasfishe moja kwa mojaMungu ibariki JF
Si amsatasfishe moja kwa moja
Trouble shooter.Mhe. Mchengerwa leo amepelekwa wizara ya Maliasili kutoka Wizara ya Utamaduni, wala hatuna shida yoyote naye, lakini tunajiuliza ndani ya muda mfupi kuhamishwa wizara tatu tofauti maana yake nini, ana uwezo sana hivyo anahamishwa ili kuokoa wizara zilizodorola au anaboronga, sasa anahamishwa ili kuokolewa kwa sababu ya koneksheni ili labda huko aendako ataweza kupatia na kuua soo la alikotoka?
Kama ana kipaji basi Mungu amzidishie lakini kama anabebwa tu kwa sababu ya koneksheni basi Mungu atuhurumie .
Salama alekoTrouble shooter.
KUNA TATIZO BASI TUMhe. Mchengerwa leo amepelekwa wizara ya Maliasili kutoka Wizara ya Utamaduni, wala hatuna shida yoyote naye, lakini tunajiuliza ndani ya muda mfupi kuhamishwa wizara tatu tofauti maana yake nini, ana uwezo sana hivyo anahamishwa ili kuokoa wizara zilizodorola au anaboronga, sasa anahamishwa ili kuokolewa kwa sababu ya koneksheni ili labda huko aendako ataweza kupatia na kuua soo la alikotoka?
Kama ana kipaji basi Mungu amzidishie lakini kama anabebwa tu kwa sababu ya koneksheni basi Mungu atuhurumie .
Huyo mndengereko aliyeoa kizmkazi ni jembe jamaa yupo fiti kimajukumu.Mhe. Mchengerwa leo amepelekwa wizara ya Maliasili kutoka Wizara ya Utamaduni, wala hatuna shida yoyote naye, lakini tunajiuliza ndani ya muda mfupi kuhamishwa wizara tatu tofauti maana yake nini, ana uwezo sana hivyo anahamishwa ili kuokoa wizara zilizodorola au anaboronga, sasa anahamishwa ili kuokolewa kwa sababu ya koneksheni ili labda huko aendako ataweza kupatia na kuua soo la alikotoka?
Kama ana kipaji basi Mungu amzidishie lakini kama anabebwa tu kwa sababu ya koneksheni basi Mungu atuhurumie .
Ufiti wake nini ?Huyo mndengereko aliyeoa kizmkazi ni jembe jamaa yupo fiti kimajukumu.
Kabishe hodi ofisi ya Rais utumishi kisha mtukane uone wafanyakazi wakakavyokugawana kwa hasira.Ufiti wake nini ?
Aliongeza mshahara kiasi gani ? mnasifia tu watu utadhani mmelogwa vile !Kabishe hodi ofisi ya Rais utumishi kisha mtukane uone wafanyakazi wakakavyokugawana kwa hasira.