Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,151
- 14,490
Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.