Tufungulieni jukwaa la astrology,ukiamka tu asubuhi unasoma nyota yako jamvini,huna haja ya kusoma magazetini.
Mfano leo kwenye gazeti mashuhuri la jf udaku nyota yangu inasema:
Haja ya moyo wako itatimizwa leo,panda ndege nenda arusha,chocolate za ferevero in hand,mbaya wako jana kaachwa.
Ya
The Finest inasema: surprise!
afrodenzi atakutumia maua na kadi ya birthday.
Ya
Kongosho: umezidi uzanga,mmeo atakufumania leo,atakumwagia pilipili kwenye niniliyu
Ya
Lizzy: saa ya kuachika na kupata mwanaume wa ukweli ni sasa,changamkia tenda ya bilionea la kihaya.