miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Aug 11, 2014 #21 Invisible ni mdogo sana wala hatishi... mimi sijasema lakin Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Aug 11, 2014 #22 miss neddy said: meona eeeeh kuna siku alinipa like nusu niote lol Click to expand... Hahah lile jicho linavokonyeza mmh utadhani sio binadamu!
miss neddy said: meona eeeeh kuna siku alinipa like nusu niote lol Click to expand... Hahah lile jicho linavokonyeza mmh utadhani sio binadamu!
Eshy m.s JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 2,926 Reaction score 1,561 Aug 11, 2014 #23 Avemaria said: Hahah lile jicho linavokonyeza mmh utadhani sio binadamu! Click to expand... hahahaaaaa huwezi kuliangalia mara mbili
Avemaria said: Hahah lile jicho linavokonyeza mmh utadhani sio binadamu! Click to expand... hahahaaaaa huwezi kuliangalia mara mbili
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,099 Reaction score 127,834 Aug 11, 2014 #24 Hahaaa baada ya kusikia maneno ya watu imebidi nichungulie kwenye profile ya invisible (naogopa kumensheni) Anakwambia 'Am just a Robot! Dont waste your time buddy' ......nimejikuta nacheka tu
Hahaaa baada ya kusikia maneno ya watu imebidi nichungulie kwenye profile ya invisible (naogopa kumensheni) Anakwambia 'Am just a Robot! Dont waste your time buddy' ......nimejikuta nacheka tu
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Aug 12, 2014 #25 MM MWENYEWE MAMA YAKO ALINIQUOTE COMMENT YANGU NUSU NISHANGAE NA KUONA KUWA NIME😛eep: miss neddy said: meona eeeeh kuna siku alinipa like nusu niote lol Click to expand...
MM MWENYEWE MAMA YAKO ALINIQUOTE COMMENT YANGU NUSU NISHANGAE NA KUONA KUWA NIME😛eep: miss neddy said: meona eeeeh kuna siku alinipa like nusu niote lol Click to expand...