Mods,hamtaniwi!!

Utani wa kumchuria Paw kifo hata mimi ulinikera hasa! Acha huo utani hata kwa mtu mwingine yeyote. Nimemaliza.

Ah,ilikuwa mis-interpretation ya heading mkuu.
Ila dah!
Sikutegemea kulambwa ban aisee!!
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa jukwaa gani ilikupeleka sero mkuu? manake Paw huku anapitaga tu.......... otherwise ameuza timu afu ukapigwa na wakubwa wa jukwaa hili

Mkuu Mungi ni hapa hapa CC!!
Yaani nilikomaje!!
 
Last edited by a moderator:
Ulikuwa unajaribu ukali wa panga kwa shingo??
Chezeya Paw weye?
 
Last edited by a moderator:
Umeanza vituko vyako Madame B hapo sasa!


Hubby mzima weye?
Sasa tumeongea nini nawe umefanya nini?
nasubiria ile makitu,nikufa kibudu mie. Arushaone hebu i-send bhana,naisubiri
(najua wambea hapa macho kodo,mtajijuuuu)
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa!!! Pole sana mkuu...Hilo ndilo la kuchezea moto wakati unajua fika utakuunguza.
 
Je unaweza ukavitaja?
Ukiachilia mbali vile vyenye ncha butu viingiavyo machimbo yaso na taa watu8?

umeniwahi nilikua nataka kuvitaja hivyo hivyo...
ye alikua anajifanya kumchezea SIMBA sharubu...akajutaje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…