PreGE2025 Modewji Foundation yagusa maisha Kivule, Wananchi waomba Huduma za Afya bure ziendelezwe

PreGE2025 Modewji Foundation yagusa maisha Kivule, Wananchi waomba Huduma za Afya bure ziendelezwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
341
Reaction score
476
Umati wa wananchi wa Kata ya Kivule wa Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi kupata matibabu ya macho na kupimwa magonjwa ya wanawake bure, kisha kutoa ombi kwa taasisi zenye uwezo kuwa na utamaduni wa kutoa huduma za afya kwa wananchi wasio kuwa na uwezo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ushauri huo umetolewa na wananchi waliofika siku ya kwanza kupima na kupatiwa matibabu ya macho na Taasisi ya Modewji Foundation, katika hospitali hii ya Wilaya ya Ilala ya Kivule.

 
Back
Top Bottom