Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.
Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.
Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.
Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.
Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.
Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!
Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?