Modernization" of Girls

Modernization of boys
2000: tufanye kamoja nimechoka sana leo
2010: ngoja nipumzike kazi zilikuwa nyingi mke wangu
2015: nguvu zote kwishneee.
Wapi maviagra.
Nitarudi tuangalie ya below 2000.

hehehe..hapa kazi ipo
 
Modernization" of Girls
1970 : Love me, but don't touch me.
1980: Touch me, but don't kiss me.
1990: Kiss me, but don't do anything more.
2000: Do everything, but don't tell anyone.
2010: Do everything, otherwise I will tell everyone that you cant do anything. .
:playball:
 
taratibu poti, wakija wenyewe hapa watakuwa wakalii.

Ukitaka uishi vizuri na wanawake usiwaambie ukweli ktk kila jambo, hasa ktk mambo yanayowagusa moja kwa moja wao kama wanawake. Hawajazoea kumeza ukweli wenye uchungu wa mwarobaini, na kamwe hawawezi kuzoea au kubadilika
 
Acha kutu-underestimate wewe!!
 
Modernization" of Girls
1970 : Love me, but don't touch me.
1980: Touch me, but don't kiss me.
1990: Kiss me, but don't do anything more.
2000: Do everything, but don't tell anyone.
2010: Do everything, otherwise I will tell everyone that you cant do anything. .
Sokomoko mbona umechukua thread yangu kule jokes na kuileta hapa bila hata ya kuweka jina langu kama muanzilishi ?
 
Sokomoko mbona umechukua thread yangu kule jokes na kuileta hapa bila hata ya kuweka jina langu kama muanzilishi ?
hehehe kamanda ukihitaji lawyer wa kupigania copy right yako utanishtua. lazima jamaa atoe kompenseshen.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom