Modernization" of Girls

hehehe jana walikuwa wanaandamana kwenye sredi flani kwamba wanazalilishwa, wakiiona na hii nazani tutarajieni hunger straiki. dah!

we jana si uliniambia nikushtakie minjemba yote inayonionea.
Anza na sokomoko sasa. Au na wewe unafurahia?
 
Nyie dawa yenu inachemka.
Nyie subirini tu.
Acheni mara moja. Hii ni last warning.
 
hehehe rose bana! jana wajanja wameiba jinzi yangu bana, yaani leo konsentreshen ni mgogoro kabisa. naomba hizo piliiton

haha hahaa ntakuletea kanga uvae usijali..na kitop kwa juu bas mpango kamili unajifanya mtu wa pwan.....
 
:love::love::love:

images
 
haha hahaa ntakuletea kanga uvae usijali..na kitop kwa juu bas mpango kamili unajifanya mtu wa pwan.....

Yale mambo yetu yaleeee "ya pwani" Mkuu angalia usijeonjeshwa mambo ya pwani ukajasahau kwetu bara....
 
nazani siku hiyo jukwaa la wakubwa litafurika
kamanda, nakuachia hii sredi uhakikishe haipotezi mwelekeo. Leo nina concert ya kuzindua albam langu jipya linaitwa "mchizi soksi", hakikisha husninyo, rose, preta,tracy n.k hawazalilishwi. nitajaribu kuwasiliana na katibukata aspirin pia aje kusaidia usimamizi wa haki zao.

klorokwini iz not richebo.....pliz liv ze meseji afta ze tone...........twiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom