Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
WANAJESHI WA KIMAREKANI WANAIBA DHAHABU YA IRAKI WANAONDOKA NAYO AMERIKA.
Sio Iraq tu, hata kwetu wanachukua kama zao vile. Kwa kuwa tunadanganyika na misaada, ili hali tuna uwezo wa kujitegemea.
toka lini iraq kukawa na dhahabu jamani, hiyo ni dhahabu ya sehemu nyingine tu na ingekuwa kweli wamarekani wamechukua zahabu huko wasingeruhusu hata picha tu kupigwa....iraq na waarabu wote huko yamajaa mafuta tu hakuna hata dhahabu ya kusingiziwa, acheni kuumiza vichwa.