Moderm za airtel na vodacom zinazengua.

Moderm za airtel na vodacom zinazengua.

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Nimekuwa nikitumia moderm ya AIRTEL ili kupata INTERNET kwa miezi miwili sasa imekuwa haifungui kabisa kuna wakati inafungua page moja tu inagoma,nikaamua kununua moderm ya VODACOM nayo inakataa kufungua Internet,Kwa sasa niko KAHAMA naomba Msaada nifanyeje ili niweze kutumia INTERNET????
 
Ungekuwa Dsm ningekuelekeza pale Posta kuna duka wanauza moderm ya kutumia line zote na iko fasta sana!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mkuu u don need kubadilisha badilisha mordem unapoteza pesa tu hapo hapo inaonyesha wazi kabisa hakuna 3G access kuna EGDE xo cha kufanya bac ni kutafuta ni mtandao gan unaacess 3G kwa hapo kwenu then flash izo mordem zako and your done or contact your service provider for more information!:wave:
 
Nimekuwa nikitumia moderm ya AIRTEL ili kupata INTERNET kwa miezi miwili sasa imekuwa haifungui kabisa kuna wakati inafungua page moja tu inagoma,nikaamua kununua moderm ya VODACOM nayo inakataa kufungua Internet,Kwa sasa niko KAHAMA naomba Msaada nifanyeje ili niweze kutumia INTERNET????
  • Bila shaka umemsoma vyema ndugu Frank G ,Inawezekana eneo lako halina 3g.
  • Ufumbuzi pekee uliopo ni kwa wewe kutumia "web accelerator" hii ni moja
  • Je web accelerator ni nini. Soma hii nukuu,
    A web accelerator is a proxy server that reduces web site access times. They can be a self-contained hardware appliance or installable software.
    Web accelerators may be installed on the client (browsing) computer / mobile device, on ISP servers, on the server computer/network, or a combination. Accelerating delivery through compression requires some type of host based server to collect, compress and then deliver content to a client computer.
Kama utapenda kujaribu web accelerator(niya kulipia kwa mwezi) ninayotumia mimi ni pm nitakupa bure ujaribu japo kwa siku moja. Hii picha inaonyesha compression level yangu
9-5-2013 3-41-42 AM.png

  • Pili :hakikisha unatumia Modified hosts file ili kufilter matangazo ya flash, na mengineyo. Ili kuweka modified hosts file tembelea hii site
    Code:
    [URL="http://winhelp2002.mvps.org/hosts.htm"]Blocking Unwanted Connections with a Hosts File[/URL]
    .Hakikisha umesoma na kuelewa kwanza kabla ya kufanya chochote.
PICHA: Kabla ya kubadili hosts file
9-5-2013 3-51-19 AMhost1.png
PICHA: Baada ya kubadili hosts file
9-5-2013 3-53-41 AMhost2.png

  • Tatu: Weka off automatic update ya program zako nyingi, ikiwezekana hata OS automatic updates iwe off.
  • Nne: Hakikisha umeistall latesst web browser ikiwa na add block mfano Adblock Plus ni moja kati ya add on nzuli kwa mozilla firefox na google chrome.
9-5-2013 4-07-13 AMMy Extension.png

Ukitekeleza kipengele cha Pili na Nnne hakika hata tangazo moja katika page unayofungua haitokuwepo. Kwa nini nimezungumzia matangazo. Kwa sababu page ya website huwa ni kb chacha sana, ila matangazo ya graphic na flash huifanya page kuwa na kb nyingi hivyo kuchelewa kufunguka.

Kwa sasa mimi mwenyewe nipo eneo lisilo na 3g ila page zinafunguka kwa kasi kana kwamba nipo eneo la 3g.
  • KUMBUKA: Huwezi ongeza kasi ya speed ya internet anayokupa ISP hilo eneo lako, bali tunachofanya ni kuhakikisha performance ni kubwa kwa speed ndogo upatayo.
Karibu
 
Nashukuru ngoja nisome maelekezo uliyonipa mkuu nikishindwa nitakuja tena kwako.
 
  • Bila shaka umemsoma vyema ndugu Frank G ,Inawezekana eneo lako halina 3g.
  • Ufumbuzi pekee uliopo ni kwa wewe kutumia "web accelerator" hii ni moja
  • Je web accelerator ni nini. Soma hii nukuu,
Kama utapenda kujaribu web accelerator(niya kulipia kwa mwezi) ninayotumia mimi ni pm nitakupa bure ujaribu japo kwa siku moja. Hii picha inaonyesha compression level yangu
View attachment 110567

  • Pili :hakikisha unatumia Modified hosts file ili kufilter matangazo ya flash, na mengineyo. Ili kuweka modified hosts file tembelea hii site
    Code:
    [URL="http://winhelp2002.mvps.org/hosts.htm"]Blocking Unwanted Connections with a Hosts File[/URL]
    .Hakikisha umesoma na kuelewa kwanza kabla ya kufanya chochote.
PICHA: Kabla ya kubadili hosts file
View attachment 110568
PICHA: Baada ya kubadili hosts file
View attachment 110569

  • Tatu: Weka off automatic update ya program zako nyingi, ikiwezekana hata OS automatic updates iwe off.
  • Nne: Hakikisha umeistall latesst web browser ikiwa na add block mfano Adblock Plus ni moja kati ya add on nzuli kwa mozilla firefox na google chrome.
View attachment 110570

Ukitekeleza kipengele cha Pili na Nnne hakika hata tangazo moja katika page unayofungua haitokuwepo. Kwa nini nimezungumzia matangazo. Kwa sababu page ya website huwa ni kb chacha sana, ila matangazo ya graphic na flash huifanya page kuwa na kb nyingi hivyo kuchelewa kufunguka.

Kwa sasa mimi mwenyewe nipo eneo lisilo na 3g ila page zinafunguka kwa kasi kana kwamba nipo eneo la 3g.
  • KUMBUKA: Huwezi ongeza kasi ya speed ya internet anayokupa ISP hilo eneo lako, bali tunachofanya ni kuhakikisha performance ni kubwa kwa speed ndogo upatayo.
Karibu
Thanks kwa shule nzuri. Swali langu ni hili, je kwa namna uliyoeleza naweza play video online kama youtube bila mgando?
 
Ku play youtube bila mgando inategemea na speed unayopata hapo ulipo
Ili uweze kustrem youtube bila kuganda inabidi data unazopokea ziwe kubwa kuliko data zinazo play
 
Back
Top Bottom