Moderm ya internet inaweza kurekodi sauti baada ya kumpigia mtu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moderm ya internet inaweza kurekodi sauti baada ya kumpigia mtu?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Rutunga M, Sep 15, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Shinda yangu ni kutaka kurekodi mazungumzo baina ya pande mbili kwa kutumia computer.

  Nilidhani moderm ingeweza kunisaidia kwa kuwa ina option ya kupiga na kupokea simu LAKINI baada ya kujaribisha hiyo nimegundua kutokuwepo option ya kurekodi moja kwa moja kwenye computer.

  Hivi nifanyeje,kuna software inaweza kunisadia?

  nisaidie wana jamvi
   
 2. C

  Chief JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
Loading...