Kwa hiyo hata page haifungui?
hafungui kabisa ila kwenye computer nyingine ipo poa tu
Angalia setting ya Firewall yako.
Na pia kama kuna software yoyote(hasa antivirus) ume-uninstall hivi karibuni inaweza kuwa sababu.
Kwani unatumia os gani?
Amia Airtel.
mkuu ni setting nafkiri maybe unatumia access point ya mms au kitu kifananiacho.
Fata mlolongo huu
1.open dashboard ya mobile patner (hio software ya modem yako ya voda)
2. Click kwenye tools
3. Click option
4. Click profile management
5. Angalia kulia click new
6. Connection name andika jina lolote hata la kwako
7. Kwenye apn andika internet
8. Click save then back pale kwa kuconectia
9. Choose ile profile uloitengeneza ili iwe ndo inatumika
10. Conect modem yako

pija window chini
Mh.......!!!
pija window chini
Watu wanaushauri wakijasiri looh....yaani kuumwa ukucha unaambiwa ukate mguu??...