kwa kweli hilo silijui na nakuomba kwa unyenyekevu unisindikize chumba (jukwaa) hicho cha wazee kwa mkono wako taratiiiiibu na kunikabidhisha.....😀😀😀Umetoa maelezo mengi lakini hujajibu hoja.
Toka umewahi kuweno humu hujui kama kuna jukwaa la wakubwa?
kwa kweli hilo silijui na nakuomba kwa unyenyekevu unisindikize chumba (jukwaa) hicho cha wazee kwa mkono wako taratiiiiibu na kunikabidhisha.....😀😀😀
Ha ha ha..... ni kitambo sana back 2007........Basi huwezi kuwa umekaa humu miaka mingi na usilijua jukwaa pendwa
Kwa kuwa miaka ya nyuma wakubwa tulikuwa tunakusanyika kule, labda kama ulikua under 18
Sent using Jamii Forums mobile app