Nitajaribu kufanya hivyo umeme ukirudi saa tano usiku. Nashukuru.Chomoa Stick, Uninstall software ya modem (Dashboard whatever) ,restaret pc, chomeka stick, install upya.

Kama hiyo dashboard in sehemu ya kudownload updates fanya hivyo.
sawa, lakini kwa sasa umeme umekatika, natumia simu. nitafuatilia maelekezo yako mara umeme utakaporudi. Asante.angalia kwenye internet settingz zako ipi umeweka kama default modem. mara nyingi unakuta imejiset kwenye agere kama default modem. kwaio weka hiyo yako kama default af tuambie umefikia wapi
nime-uninstall, restart na kuinstall upya. Hakuna sehamu ya kudownload updates. tatizo bado lipo. nimeweka ''ttcl modem 3g'' as default internet setting lakini bado.Chomoa Stick, Uninstall software ya modem (Dashboard whatever) ,restaret pc, chomeka stick, install upya.

Kama hiyo dashboard in sehemu ya kudownload updates fanya hivyo.
Asante, nitayafanyiakazi maelekezo haya pia.Nenda Kwenye device manager kupitia njia yoyote ile;

Angalizo : Modem yako iwe imeichomekwa.

Rightclick My Computer na bofya manage na utaiona device manager, ibofye na ione modem;

Bofya modem listed na ingia kwenye diagnostics na query modem,

Ikiitika, hakikisha username na password ziko sawa; na ina balance ya kutosha.

La sivyo hapa ndipo unaweza kufanya uninstallation kama zilivyo nukuliwa mwanzoni na siyo dashboard.
nimeangalia setting, namba zote hizo zipo, nimefuta password na kuiandika tena upya yaani the last 6 digits. windows niitumiayo ni xp lakini bado imekataa, inaleta error sms #678: ''The remote computer did not respond''Nenda kwenye settings hakikisha ziko sawa
1#777 ipo
2 073....@ttclmobile ipo
Password:ni namba zinazofuatia baada ya namba 4 za kwanza.
Kama yote unafanya na inakataa tazama window unayotumia kama ni window 7 au xp itakubali
nimefanya yote hayo, lakini bado. Hii modem sijawahi kuona signal. ile sehemu ambayo huonesha signal, hakuna kitu pale ni plain. tatizo kubwa ndio hilo la signal. Modems nyingine huonesha signals hata kama ni weak yaani edge, lakini hii haijawahi kudisplay signal ya aina yo yote licha ya kimulimuli cha kibluu kuwaka wakati wote.Ingia Network Connections;
Chagua dialup icon yako;
Rightclick na chagua properties;
Kwenye General tab, bofya configure...;
kwa hardware features tick vibox viwili vya mwanzo na bofya OK;
tick show .... ;
kwenye security tab security options chagua typical na allow unsecure... bofya OK;
Angalizo : Hakikisha unapata signal za ttcll.
hatimaye imekubali kwenye laptop! Nilichofanya nimetumia dashboard ya airtel. nilichomeka modem ya airtel huawei e153, na nikachomoa na kuchomeka ya ttcl. Sikuamini macho yangu nilipoona maandishi ''cdma'' pale kwenye sehemu ya kuonesha signal ambako siku zote palikuwa plain. Kwa kuwa hii imtokea kwenye d'board ya airttel, niliamua kurestart na kuclick icon ya ttcl. dashboard ya ttcl ikadisplay na yale maandishi ya ''cdma'' yakajitokeza kuashiria sasa signal inapatikana, na nilipojaribu kuconnect ikakubali.Connect kupitia network connection kwa kubofya ZTE Wire.... icon;
Model ya modem,OS, Location?