Modem ya ZANTEL

N series

Senior Member
Jul 14, 2011
170
14
Wakuu msaada wa tuta hapa, nahitaji ku un lock modem ya zantel nami nile kiulaini manake bundle 10 elf tabu kweli, naombeni muongozo plse:crazy::crazy::crazy:
 
tumia PD-proxy free kwa 100mb daily achana na kununua bandle
tambua hizi moderem za ZANTEL hazichakachuliki

tafuta uzi humu kutoka kwa mkubwa E2themiza
 
Hebu tupe somo vizuri coz wamepandisha bei bandel ya elfu 10 sasa imekuwa elfu 15 mb750.
 
pekua thread ya 2ethemiza kwenye ili jukwaa,watu wengi kwa zantel tunatumia free kabisa kwa 100mb kwa pc moja ukiwa na pc kumi na account 10 basi una 1gb daily

unacheza na JF wewe.hata hapa natumia free.
 
musijisifu sana, makiendelea hivyo nitaenda kuwafungia ile port ilokuwa wazi. you have been warned.
 
tumia PD-proxy free kwa 100mb daily achana na kununua bandle
tambua hizi moderem za ZANTEL hazichakachuliki

tafuta uzi humu kutoka kwa mkubwa E2themiza
nashkuru kwa re-direct mkuu, be blassed
 
Back
Top Bottom