Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Niliamini TTCL wangekuwa juu na spidi ya kutosha ila bora voda ninayotumia maana ni hasara tupu. Rates zao pia ni utata na gharama pia. Kuna namna ya kupunguza huu ubahili wa hii modem katika kuachia data za kutosha?