Ntajuaje mkuu kama adapter yangu ni ya kizamani??itategemea na kasi ya adapter ya wifi. kama una adapter nzuri ya wifi ndio itashare kwa kasi ile ile na kama upo utofauti basi utakuwa mdogo sana hasa kwenye ping.
ila kama una adapter ya kizamani ya wifi hutapata speed kama ya 4g.
unaangalia specification ya kifaa husika kama ni simu au laptop na unaweza pia kuongeza kama wifi yako sio nzuri, au ukanunua router ya kuchomeka hio modem.Ntajuaje mkuu kama adapter yangu ni ya kizamani??
Na kuna uwezekano wa kuibadilisha??
Kujua hizo specs za network card nafanyaje mkuu???Kama ni computer kwa computer pia unaweza kutumia LAN cable, hii iko applicable kwa computer mbili tu, utatumia connectify na kushare over LAN, speed ya shared internet itategemea na speed ya modem, assumming other factors remain constant.
link speed ya LAN itategemea na specs za network card ya PC yako zipo 100mbps na 1gbps.