Modem: Tatizo lingine hili hapa..

Modem: Tatizo lingine hili hapa..

Tympa

Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
99
Reaction score
25
WANA JF, HABARI.
Ninamiliki modem ya vodafone zte3570. na imichakachuliwa. LAKINI CHA AJABU NI KWAMBA...
1. Nikiweka laini ya mtandao mwingine inawasha taa ya kijani(badala ya blue)
2.Niki connect laini nyingine isiyo ya voda, modem inajizima na kujiwasha(kama vile mtu kachomoa na kuchomeka instataneously)
3.Nikiweka laini ya vada, mambo yanakuwa shwari na natumia kama kawaida(hapa inawasha taa ya blue)
NAOMBA USHURI WENU ILI NISOLVE PROBLEM NO. 1 & 2
 
kuhusu taa nadhani co tatizo cuz wen ts red=no network green=2g/edge blue=3g
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom