Ku -restore modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ku -restore modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by the kapex, Feb 22, 2011.

 1. the kapex

  the kapex Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba msaada wenu nilikuwa najalibu ku-unlock modem yangu vodafone k3565-z ili niweze kuitumia kwa laini tofauti na voda lakini sijui nimekosea wapi , nikiingiza kwenye computer yangu haionekani kwenye my computer lakini bado inakuwa inaonyesha ile taa ya rangi ya blue
  Teacher Kapex
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kuna uwezekano uli write dashbord bila ya ku read it kwanza, kama ulifanya kosa hilo basi aa sijui, subiri wataalamu labda labda watakusaidia kwani hakuna anaye jua yote. Lakini katika uelewa wangu mdogo ningumu ku-restore Previous dashboard iwapo uli write it bila ya ku read kwanza. Hata hivyo modem yako unaweza kuitumia kama kawaid kwani kitakacho kosekana ni driver tu za hiyo modem, ambazo unaweza kuzipata kwa kutumia any updater driver software http://tinyurl.com/4ojoab8 .
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  relax.je una uhakika ilimaliza kuwrite hiyo firmware yote ya joinair?ungeweza just kudownload software ya joinair ila haina haja hata ya kubadilisha firmware.
   
 4. anania

  anania Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu nami nilikuwa na tatizo kama hilo ila nadhani limekwisha kwa kiasi fulani ingawa nitahitaji maelekezo zaidi.Kwangu ilikuwa hivi:
  Nilitumia DC-Unlocker ku unlock modem mambo yakawa poa kwani SIM CARD ilionyesha unlocked.Kuna siku modem ikawa inagoma kuconnect nikapiga simu voda huduma kwa wateja wakanishauri ni Uninstall ile Vodacom mobile Connect baada ya hapo nikawa inashindwa ku install na wala hionekani ila nikienda kwenye device manager naambiwa inafanya kazi vizuri.Nimedownload join air Dashboard_Windows_generic naZTE_MF622_not_customised_software na nimeinstall.Sasa inafanyakazi kwa line zote ila kwa mpangilio huu,nikichomeka modem join air inafunguka inastart device halafu inasema connecting baadaye inasema divice disconnected na haiwezi kuconnect ila inaonesha signal strength ya mtandao wa laini husika(voda,tigo na zantel) ikifika hapo naipiga chini join air halafu nafunfua MF622 hii ndio naweza kuconnect na mitandao yote,lakini nikiifungua hii MF 622 peke yake inasema modem not detected au no signal.Mwenye jibu la kitaalamu kwanini zinafanya kazi kwa kutegemeana anijuze wakuu.
  Hizi softwares zinapatikana hapa mkuu download DC-unlocker client software unlock supported phones modems
   
 5. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu ulishapata suluhisho??
   
 6. the kapex

  the kapex Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu bado sijapata lakini nimejaribu kuiweka hiyo join air lakini haiitambui laini yoyote si voda wala airtel bado nahitaji msaada wenu.
   
 7. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kapex inaonyesha driver hazijakamilika.install software iliyokuja na modem kwanza yaani ya voda kisha ndo utumie joinair.hapo itaoneka,wakati unatumia join hakikish umexit ya voad
   
 8. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zasasule, kinachoonekana hapo ni kuwa kapex alishafuta ile dasboard ya vodaphone na computer bado inahitaji hizo drivers.....kama sivyo mkuu kapex nisahihishe......sasa unachohitaji hapo ni kupata ile original dashboard.........hiyo dasboard ni MB 35, sasa kama ndivyo sema labda nikuaploadie au niPM email yako uextract, hilo file na uliinstal, au kama vipi tafuta MODEM kama hiyo hiyo uiistal then hizo drivers zitakuwa re installed
   
 9. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  no! Anachotakiwa ni ku update driver kwa kutumia software ambayo nimemuwekea,ukisoma post yangu ya kwanza hapojuu maelezo yako na yangu yanafanana, nilichogundua Huyo jamaa ni mbishi na anategemea watu maalum ndio ataamini, anadhani wao wanajua kila kitu, hakuna anaejuwa yote duniani.
   
 10. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  yap and tht z what i meant nicky
   
 11. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  naona kakaa kimya hata kuchangi tu.
   
 12. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kama kuna kitu haujafahamu uliza wapo wataalam watakusaidia, wapi umekwama?
   
 13. the kapex

  the kapex Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli nafikiri nitakuwa nimezifuta make nilipo iuninstall niporudisha tena computer haikukubali kuisoma hiyo modem ili ijiinstall yenyewe kama kawaida. Pia kwa msaada zaidi e mail yangu ni teackapex@gmail.com
   
 14. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimekutumia hilo file kwny hiyo email..............ni MB 35 nmeligawanya na kulituma kwa emails mbili sbb ni zito sana kwa hotmail kulibeba kwenye email moja............fata maelezo yake, ukifanikiwa lete update hapa jamvini
   
 15. the kapex

  the kapex Member

  #15
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kwamba nashukuru sana bwana Nicky nimefanikiwa kuziweka ingawa nikichomeka modem bado haionekani lakini cha msingi ni kwamba naweza kui-connect kwa laini moja nikijaribu kuweka laini nyingine haionekani.
  kwemye dashboard ya join air inaonekana lakini hai-connect pia ni kwa laini hiyo ya voda zingine wala hazidetect, Asante nashukuru.
   
 16. K

  Kalengela New Member

  #16
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajalibu kupata moderm kama hiyo yaani k3565-z. ukisha weka yenyewe itarudisha driver zinazokoseka. Mimi nilifanikiwa kwa kufanya hivyo ,lakini sasa nikiunga inaonekana kwenye join air mitandao yote. Lakini inashindwa kuunganisha saidieni kwa hilo
   
 17. Dazyd2f

  Dazyd2f Member

  #17
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wakuu mimi naomba mnisaidie jinc ya kuweka unlockd dashboard kweenye 3570 zte.....procedures zake na links za kudownload hzo softwares:confused2:
   
 18. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hii unlockd dashboard ndio nini wazee. hebu nipeni elimu
   
 19. s

  susako New Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oops! umeharibu mpangilio wa firmware bt wor out we r going to get t back!! ok listen pal! kwa kuwa inaonyesha sio xpert wa masuala ya IT na hackin kiujumla!,let me give u a cmpo way to follow download sam softwea hapa ina kama 29mb hivi!{DL_K3565-Z_Celcom_EUV1.00.01.exe - 4shared.com - online file sharing and storage - download} ukishamaliza then sasa plug modem hyo yenye matatzo make sure haina lain yoyote,hapa sasa unatakiwa computa yako iwe na acess ya internet ili ku update firmware onlyn,USITUMIE MODEM UNAYOIKARABATI KUWA NDO INA PRODUCE INTERNET! kama untaenda cafe ama uta2mia njia nyingine ni ww ! ikishamaliza ku update mchezo umekwisha mjomba! kila ki2 kilicho miss kitarudi fresh!!.Na labda uwe makini katika ku flash upya! ..........njia rahisi ya kudebrand kwa wale beginners ntaku2mia nxt tym nkiwa na muda .......usisahau kumshukuru Mungu wako kwani yy ndo kawezesha yote haya....... .....chek ma creation on Karibu tabell crew..... and like our page.
   
 20. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,157
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Aisee Duh.....!!!!!
  Post ya mwezi june 2011 ndo unajibu leo August 2012.
  mbona Kazi ipo
   
Loading...