Modem sharing

Modem sharing

mwilawi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
139
Reaction score
89
Jamani naomba kwa anaejua modem sharing. Kwani katika pitapita yangu kwenye mtandao nilikutana na hii kitu, na wanasema ni kutumia modem mbili katika PC moja ili kuongeza speed ya internet. Lakini sikuelewa vizuri NAOMBA MSAADA
 
Kuna thread kama hyo humu ndani search tu kaka utaikuta
 
Back
Top Bottom