Modem gani rahisi ku flash ntumie line zote

Modem gani rahisi ku flash ntumie line zote

wakuu kuna pc ya hp i7 g103dx wanasema powerna i7 4510u ina 2.0 ghz pia inaweza kuwa expanded to 3.1 ghz so naomben ushauri wakuu mumewah itumia hii kitu kwangu mimi naona iko poa ila naomba uzoefu wangu kwa wenye idea ili niwe na aman wakati wakuichukua inauzwa 1.9m
 
mkuu processor zinazoishiwa na u kama hio zimetengenezwa kwa watu wenye matumizi madogo perfomance inakuwa nzuri kiasi ila inakaa sana na chaji.

ila kwa 1.9m sikushauri uichukue ni too expensive. ni bora tafuta laptop yenye i3 au i5 kama 5200u au 6200u hizi utazipata nusu ya hio bei na zinakaa na charge sana. then hio hela itakayobaki wekeza kwenye vitu kama ssd na battery kubwa zaidi na ram nzuri.

kama unataka laptop ambayo ina replace desktop yenye power kubwa na dedicated graphics tafuta yenye i5 6300hq au i7 za quad zipo nyingi kidogo sema hizi huwa hazikai sana na charge.
 
Back
Top Bottom