Modem gani rahisi ku flash ntumie line zote

J
Mkuu ni jinsi gani naweza kuifanya simu yangu iwe modem, msaada jinsi ya kuunganisha.
how do you get connected,,,nina Huawei P8 lite,,nitaitumiaje kama modem kwa hP pc?
Nenda Wi-fi hotspot enable au unaweza enda kwenye setting then itafute na u-select tethering & hotspot kisha utaona portable Wi-Fi hotspot, enable hiyo.Rudi kwenye Pc yako enable bluetooth,simu yako itaonekana kwenye search list.Right-click na chagua "Discover Available Services" unganisha simu yako kisha right-click kwenye "Dial-up Networking" na chagua "Connect Dial-up Networking" kisha pair simu yako na pc then utaingiza password na username hapo utakazozitumia siku zote na ita-request hivyo hivyo kwenye simu username na password.

Sikuya kwanza ndo ina process ila baada ya hapo itakuwa imetambilika na siku nyingine unaenda kwenye hotspot na kuwasha bluetooth ya pc na kuanza kutumia.Japo kuna njia nyingine rahisi sana ila nimeisahau ya kuweka password na username kwenye simu then unawasha tethering ya simu na bluetooth ya pc na kutumia
 
Unaponunua Modem inabidi u Focus future leo Unanua modem ya 3G 30,000/= mpaka 40,000/= wakati Modem ya 4G ni 50,000/=

Mimi kwangu haiingii kabisa,Una shida na Modem zile za Tigo ndo Mpango mzima!
ni kweli mkuu mitandao 4 ina 4g na voda ile trial yao sijui imeishiaje
 
Mkuu ni jinsi gani naweza kuifanya simu yangu iwe modem, msaada jinsi ya kuunganisha.

kuna njia nyingi tu kama
1. bluetooth(slow)
2. wifi (fast kutegemea na adapter yako)
3. usb (fast)

jamaa amekuelezea kwa bluetooth hapo juu.

kwa wifi utaenda setting halafu more network halafu tethering and portable hotspot halafu eka on. ingia setting zake hapo kuangalia password zake.

kama laptop/desktop yako ina wifi utaiona simu yako kwenye network connect itadai password eka password zako.

au unaweza tumia usb connect simu na laptop/desktop kwa usb halafu fuata step za juu then tick usb tethering computer itaconect na internet ya simu
 
wakuu vp hiz voda zte naskia nazo poa tuu 7.1mps pia nliambiwa hakua software ya kuflash mod za zantel cjui kama kwel naomben msaana hapo na bei ya hiyo modem za zantel Mr Mkwawa nashukuru na pia hizo za zaman spid yake si ndogo sana maana me nataka ya 3G
Ya Zantel E3131 ni rahisi ku flashika lakini Bear in Mind haitosoma Line ya Airtel
Hii kitu Mpaka leo sijawai ielewa wakati Bands za Mitandao ya 3G ni 900/2100Mhz na hiyo modem inazo hizo bands ila Airtel haidaki.

Jawabu linabaki Moja tu ununue Modem ya Tigo 4G itakusaidia kukamata TTCL 4G,Smile4G na Mitandao yote ya 3G
 
We mkuu ndo nlikuwa nakutafuta, nilipita kwenye blog yako umefafanua namna ya ku unlock tigo huawei e3372h 4G, nikawa na wasi wasi kama njia ile tunaweza kuitumia kwenye hizi wingle za airtel maana nazo ni HiLink modems
 
J

Nenda Wi-fi hotspot enable au unaweza enda kwenye setting then itafute na u-select tethering & hotspot kisha utaona portable Wi-Fi hotspot, enable hiyo.Rudi kwenye Pc yako enable bluetooth,simu yako itaonekana kwenye search list.Right-click na chagua "Discover Available Services" unganisha simu yako kisha right-click kwenye "Dial-up Networking" na chagua "Connect Dial-up Networking" kisha pair simu yako na pc then utaingiza password na username hapo utakazozitumia siku zote na ita-request hivyo hivyo kwenye simu username na password.

Sikuya kwanza ndo ina process ila baada ya hapo itakuwa imetambilika na siku nyingine unaenda kwenye hotspot na kuwasha bluetooth ya pc na kuanza kutumia.Japo kuna njia nyingine rahisi sana ila nimeisahau ya kuweka password na username kwenye simu then unawasha tethering ya simu na bluetooth ya pc na kutumia
thanks,,though maneno mengine magumu na ya kiproffesional ntajaribu,,thanks man
 
We mkuu ndo nlikuwa nakutafuta, nilipita kwenye blog yako umefafanua namna ya ku unlock tigo huawei e3372h 4G, nikawa na wasi wasi kama njia ile tunaweza kuitumia kwenye hizi wingle za airtel maana nazo ni HiLink modems
Airtel wingle ni Model gani?
Hi link sio Hi link?
Ukiweka Line ya nyingine unapewa Ujumbe gani?
 
Ni huawei e8231s (smart wifi) ni HiLink,
ukiweka line ingine inaonyesha ivi ila, walichokifanya ni kuweka remain attempt zilo ili ushindwe kuingiza unlock code.
AjZL0Wx.png
 
Nimewai kuwa na Modem ya Airtel ambayo Nili brick nikiwa na Unlock Huawei E303h-1 Hi Link
Ukitia foreign sim card inaomba Unlock codes lakini attempts ziko zero

Ila modem kama hizi dawa zzake ni inabidi Ufanye Resetting ya Unlock counts au Uingize NCK codes kwa AT commands
AT^CARDLOCK"Unlock_code _digits".

I wish hiyo modem yangu ingekua hai siku zote ningeshaielewa cha kuifanya bila kuchange Firmware!
 
Resetting unlock counts by all famous software like dc ulocker etc, imegoma.
Changing firmware haikubali, inaleta error 16.
Io ya kutumia AT commands ndio style mpya ambayo sijawahi kuitumia, nazitumaje izo code kwa kutumia CMD au?
 
ume Reset Vipi Counter?
Kuna Njia mpya ya kutumia MD5 Hash code ambayo nayo unaituma kwa AT Command kwenye modem as u send the Unlock with AT Command but this Hash code is generated from the NCK code
AT command unaweza tumia hata DC-Un;locker inazifanya free bila kuwa na acct
au waweza kutumia Putty kwa ku tick kwenye serial na kuchagua COM Port y modem

Mind you hii ni Hi link modem hauwezi badilisha Firmware bila ku Switch into Project Mode

Ila pia unaweza kuta Airtel wana Customize Dashboard in this case WEB UI kiasi kwamba inaonesha zero wakati si zero kweli hivo pia ungejaribu kubadilisha WEB UI version na kuweka ambazo ni Universal,Hii inaweza kukwepesha na hiyo njia ya AT commands
 
habari wakuu naomben mniambie model na brand ya hiyo modem niinunue isisumbue kuflash pia nambien kama kuna madhara ya kuflash modem pia nataka modem yenye speed kali
mchango wako na ubarikiwe sana pia mwenye WP lumia925 ani pm kuna mteja anataka ana200k.
Moderm zote zina unblockiwa. Upo wapi nikuuzie software ya ku unlock moderm zote? Kama Vipi ni pm
 
ume Reset Vipi Counter?
Kuna Njia mpya ya kutumia MD5 Hash code ambayo nayo unaituma kwa AT Command kwenye modem as u send the Unlock with AT Command but this Hash code is generated from the NCK code
AT command unaweza tumia hata DC-Un;locker inazifanya free bila kuwa na acct
au waweza kutumia Putty kwa ku tick kwenye serial na kuchagua COM Port y modem

Mind you hii ni Hi link modem hauwezi badilisha Firmware bila ku Switch into Project Mode

Ila pia unaweza kuta Airtel wana Customize Dashboard in this case WEB UI kiasi kwamba inaonesha zero wakati si zero kweli hivo pia ungejaribu kubadilisha WEB UI version na kuweka ambazo ni Universal,Hii inaweza kukwepesha na hiyo njia ya AT commands
Ok! Shukrani sana mkuu, leo nitajaribu hizi njia mpya ulizonipa na nitakupa matokeo, shukran kwa mara ingine.
 
ume Reset Vipi Counter?
Kuna Njia mpya ya kutumia MD5 Hash code ambayo nayo unaituma kwa AT Command kwenye modem as u send the Unlock with AT Command but this Hash code is generated from the NCK code
AT command unaweza tumia hata DC-Un;locker inazifanya free bila kuwa na acct
au waweza kutumia Putty kwa ku tick kwenye serial na kuchagua COM Port y modem

Mind you hii ni Hi link modem hauwezi badilisha Firmware bila ku Switch into Project Mode

Ila pia unaweza kuta Airtel wana Customize Dashboard in this case WEB UI kiasi kwamba inaonesha zero wakati si zero kweli hivo pia ungejaribu kubadilisha WEB UI version na kuweka ambazo ni Universal,Hii inaweza kukwepesha na hiyo njia ya AT commands
Una link yoyote ya hii putty software na project mode software?
 
Putty ni Free SSH/TELNET software ila kama haujawai itumia ni vema uendelee na DC unlocker inafanya kazi kwa urahisi zaidi.
angalia picha hii
DC1.png

hauwezi Switch Project Mode bila kujua url ya Modem mfano Classical way ni hii hapa ya kuweka Switch Mode nyuma ya IP ya modem i.e 192.168.8.1/html/switchProjectMode.html

Isipofanya hii kuna Njia mpya ya Kutuma XML file kwenye Modem kama modem inatumia 192.168.8.1 kuna Tool itakusaidia hii HAPA
 
Ok! ngoja nianze na izo namna kwanza.
 
JINSI GANI YA KU UNLOCK MODEM YA VODA.... MTAALAM ANISAIDIE
 
Back
Top Bottom