Modem bora?

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
752
Reaction score
154
Naomba ushauri kati ya hizi modem ipi ni bora
1. Huawei E3131
2. Huawei Modem E303

Nitashukuru kwa ushauri wowote
 
Naomba ushauri kati ya hizi modem ipi ni bora
1. Huawei E3131
2. Huawei Modem E303

Nitashukuru kwa ushauri wowote

Kwa msaada wa fasta....
Nambie Huawei E3131 Hapa bongo umeziona wapi maana mm nilitumiwa from UK ila sipend za kampuni ya Hi link

Huawei E3131 inayo HSPA+ yaani Download link yake inaenda mpaja 21.6Mbps na uplink yake ni 5.6Mbps
Pia hii inatundu la Antenna ambayo kama eneo lako linasua sua network utaitumia lkn bei ya antenna ni tofauti na modem

Huawei E303 ni ya kawaida sana HSDPA yake ni 7.6Mbps wakati HSUPA yake ni 5.6Mbps

THEREFORE..E3131 is 3 times faster ktk kudownload kuliko e303

So to say kwa heavy Downloaders kama mm ambaye nataka kipindi nadownload nipate 1-3MB/s na kwa mwezi napakua 500GB lazima nitumie huawei E3131

Lkn wewe kama wewe ni light internet user yaani jf..tweets...fb...forums...blogs...google...kudownload mafile ya 20-50MB.. usiharibu hela(sikushiki mfukoni) kununua e3131
Maana hautoona tofauti na hii E303
 
Thanks , nimezions katika pitapita,zangu kampala ndo nataka kuchukua moda mfuko sio shida
 
Na mimi naongezea hapo hivi je kuhusu ubora wamodem ya Dlink ubora na power yake uko je maana nimesikia watu wakizisifia tafadhari nawaombeni ushauli
 
Na mimi naongezea hapo hivi je kuhusu ubora wamodem ya Dlink ubora na power yake uko je maana nimesikia watu wakizisifia tafadhari nawaombeni ushauli

Iseme model ni google nione speed yake...lkn navyojua watakuwa wanasifia kisa ni universal lkn modem zinazouzwa bongo zote hazizidi download speed ya 7.2Mbps isipokuwa za smule zinazofikisha 100Mbps mm nimezunguka maduka yote ya Posta mpja kkoo hamna nilipoona modem ya 14Mbps au 21Mbps
 
Asante kaka nimekupata ngoja takapo nyumbani taicheki model halafu takutaalifu Lakini pia Samahani kidogo kwa usumbufu nilikuwa naomba msaada wako jinsi ya kuapgred Samsung galaxy NOT2 pia kwa yeyote yule mwana jf naomba msaada wake
 
Kuhusu mambo ya Android phone kwa msaada wa fasta na uhakika ingia thread zinazohusu simu muquote jamaa anaitwa Chief-mkwawa huyo atakusaidia hakikisha unamtag au kumquote ili ajue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…