<br />Mbona simple tu.! Nenda phone security setting halafu unabofya kwenye mobile tracker. Unaweza kuweka hata namba tano za ulinzi wa cm yako.!
password ipo mkuuivi mtu mjuaji akiiba afu akabadilisha hiyo number kwenye mobile truck number si inakuwa haina maana au kuna option ya password?