Msaada: Simu ambayo haijawahi kutumika kabla inaweza kuwa tracked endapo imeibwa?

mbalaka

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
2,241
2,622
Wataalam wa it naomba msaada.

Nimetumiwa simu mpya (Samsung)na rafiki yangu aliyeko Pretoria.

Huyu bidada kanunua hizi simu mbili kwa mtu tu mtaani.

Ila katika maelezo yake nikagundua jambo moja hizi simu zimepigwa kule kwenye maandamano (Soweto ama J'burg)

Simu ni mpya na accessories zake. Moja kabaki nayo nyingine kanitumia.

Simu hazijawai funguliwa hata kidogo.

Sasa nauliza kwa usalama wangu na yule bidada Wenye mali wanaweza kuzidukua nikakamatwa?.

Inawezekana kuwa tracked simu ambayo haijawai kuwa installed sim card?.

Msaada wenu tafadhali.
 
Kitu iki hapoView attachment 1869168View attachment 1869169View attachment 1869170
IMG_20210726_143626.jpg
 
Kwa hiyo halotel yangu iingie mzigon bila hofu?
Sasa hofu ya nini.

Yani watu wako south waanze kukufatilia wewe bongo kisa simu.

Tena imepotea kwenye vurugu kubwa kama ile akae awazie simu moja.


Acha uoga kijana.
 
Mkuu, uwezekano wa wao kukufatilia ni endapo tu watakuwa na Imei za simu hiyo!.

Na kama wana record IMEI za simu zote hizo, basi lazima kulikuwa na ualakini kwa muuzaji kufatilia simu zote alizokuwa anauza.

Binafsi, naamini hajarekodi. Hivyo huna haja ya kutia shaka.

Fungua simu na endelea kutumia.

Ila kama nafsi inakusuta kutumia simu ya wizi, basi mrudishie aliyekupatia.

Kwa swala la usalama, no doubt!.
 
Uwezo wa kukudaka wanao. Ila most of time hawafuatilii, na wakiamua kufuatilia Wana blacklist tu IMEI, siku utaamka utakuta inaandika Emergency call only.

Chengine hapo juu kama mdau alivyosema inawezekana pia ikawa sio simu OG. Hasa hio position ya front camera imekaa kama Water drop notch.

S21 yenyewe ina cutout
gsmarena_004.jpg


Kuwa makini kama unauziwa.
 
Uwezo wa kukudaka wanao. Ila most of time hawafuatilii, na wakiamua kufuatilia Wana blacklist tu IMEI, siku utaamka utakuta inaandika Emergency call only.

Chengine hapo juu kama mdau alivyosema inawezekana pia ikawa sio simu OG. Hasa hio position ya front camera imekaa kama Water drop notch.

S21 yenyewe ina cutout
gsmarena_004.jpg


Kuwa makini kama unauziwa.

Mkuu hata akitumia WiFi pekee anaweza kamatwa?
 
Mm nafikiri kutrack inawezekana ila wanaangalia pia rekodi ilikuaje na hapo wanaweza tu wakablock IMEI peke yake Kisha wakakuachia simu yako
 
Back
Top Bottom